figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,341
Mpaka waisheKuna watu walisema Warusi hawafi. Wana Teknolojia ya hali ya juu, sasa onaa
View attachment 2276964View attachment 2276965View attachment 2276966View attachment 2276967View attachment 2276968
Urusi wanateseka tu ... Hawana tofauti na Wavietnam... Wanapotezaga askari wengi saana Frontline kwenye battle zao na Wala hawastuki.Urusi ingekuwa ndogo kama Rwanda, wanajeshi wake wangekuwa washaoaha. Wanakufa hadi 300 kwa siku tangu vita ianze. Vifaru vinavyoharibiwa ni vingi tumeshindwa hesabu. Nahisi wamevileta dampo
Hawa wasenge kamwe hawaiwezi vita na Marekani kwanza logistics tu shidaWamesalimu amri pale Snake island, Kuna Howitzer zimepakiwa kule mainland zinatandika kale kakisiwa Hadi warusi wamesurrender, wamekimbia wote.
Kuondokakwa Russia kukikacha Kisiwa cha snake Island kwa jeshi la Urusi kutoka Kisiwa cha snake island inamaanisha kuwa hakika hakutakuwa na kutua huko Odesa.
Russia wepesi tu Kama wameshindwa kulinda Kisiwa kidogo Kama Snake island, hawataweza Tena kufika Kyiv.
Wamepwaya.... Leo Tena wametema bungo... Wamerudisha mateka wa kibao wa Mariupol.
We are winning on this.View attachment 2277659
Kuna ule msafara wa kuelekea Kyiv walienda Kama wacambodia au Wavietnam yaani waliingia wazima kwenye ambush ambayo hata jeshi la Congo alikutoi salama... Satellite zinamuona na Kyiv wanaona.Hawa wasenge kamwe hawaiwezi vita na Marekani kwanza logistics tu shida