Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii kazi imefanywa na Silaha aina ya M777 155MM howitzer. Hapa kulikuwa na base ya warusi
 
Kuna watu walisema Warusi hawafi. Wana Teknolojia ya hali ya juu, sasa onaa
IMG_20220629_232804_823.jpg
IMG_20220629_210834_312.jpg
IMG_20220629_210832_130.jpg
IMG_20220629_210829_831.jpg
IMG_20220629_210826_270.jpg
 
Wamesalimu amri pale Snake island, Kuna Howitzer zimepakiwa kule mainland zinatandika kale kakisiwa Hadi warusi wamesurrender, wamekimbia wote.

Kuondokakwa Russia kukikacha Kisiwa cha snake Island kwa jeshi la Urusi kutoka Kisiwa cha snake island inamaanisha kuwa hakika hakutakuwa na kutua huko Odesa.

Russia wepesi tu Kama wameshindwa kulinda Kisiwa kidogo Kama Snake island, hawataweza Tena kufika Kyiv.

Wamepwaya.... Leo Tena wametema bungo... Wamerudisha mateka wa kibao wa Mariupol.

We are winning on this.
Screenshot_20220630-201839.jpg
 
Urusi ingekuwa ndogo kama Rwanda, wanajeshi wake wangekuwa washaoaha. Wanakufa hadi 300 kwa siku tangu vita ianze. Vifaru vinavyoharibiwa ni vingi tumeshindwa hesabu. Nahisi wamevileta dampo
Urusi wanateseka tu ... Hawana tofauti na Wavietnam... Wanapotezaga askari wengi saana Frontline kwenye battle zao na Wala hawastuki.

Kwenye Hii battle of Stalingrad kwenye world war 1 Russians walippteza askari zaidi ya 900,000/= kwenye battle moja tu dhidi ya Germany.

So technically hawako fit and organized Kama wanavyotuaminisha. Som shiit army hata wakishinda huwa wanakuwa washakula kihapo kitakatifu. Tofauti na Japan, USA, Italy e.t.c

Wenzao wa Russians ni Cambodia, Vietnam, China e.t.c wanakufaga Kama Kuku.
View attachment 2277670
 
Wamesalimu amri pale Snake island, Kuna Howitzer zimepakiwa kule mainland zinatandika kale kakisiwa Hadi warusi wamesurrender, wamekimbia wote.

Kuondokakwa Russia kukikacha Kisiwa cha snake Island kwa jeshi la Urusi kutoka Kisiwa cha snake island inamaanisha kuwa hakika hakutakuwa na kutua huko Odesa.

Russia wepesi tu Kama wameshindwa kulinda Kisiwa kidogo Kama Snake island, hawataweza Tena kufika Kyiv.

Wamepwaya.... Leo Tena wametema bungo... Wamerudisha mateka wa kibao wa Mariupol.

We are winning on this.View attachment 2277659
Hawa wasenge kamwe hawaiwezi vita na Marekani kwanza logistics tu shida
 
Hawa wasenge kamwe hawaiwezi vita na Marekani kwanza logistics tu shida
Kuna ule msafara wa kuelekea Kyiv walienda Kama wacambodia au Wavietnam yaani waliingia wazima kwenye ambush ambayo hata jeshi la Congo alikutoi salama... Satellite zinamuona na Kyiv wanaona.

Kilichofuata walitaandikwa ambush moja tu hadi na project ikaishia pale pale... Kiimya

Logistics ya kupeleka tu Chakula na vifaa vya matibabu ilikuwa shida very unorganized and unprofessional army.

Unajua kila mtu anashangaa Mrusia kwa Hii vita kajivua nguo saana kwa jinsi amavyostruglle na dogo.
 
Back
Top Bottom