Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu, tusaidie uwe unatuwekea picha na maelezo kidogo sababu hili ni Jukwaa la Picha.
 
Helkopta za Ukraine aina ya Mil Mi-24 zikishambulia Frontline ya Urusi kwa kutumia Missiles
Your browser is not able to display this video.
 
Na hapo US anaweka kambi yake kubwa au Makao Makuu Poland.... Maaana yake Poland hawezi vamiwa kirahisi

Marekani kwenye logistics yuko vizuri ndo maana hata Afghan aliweza hamisha watu 10000 ndani ya masaa 24

Marekani wanajeshi wake wanakula hadi burgers
 
Baada ya Mifumo ya Gharama ya Kivita ya Urusu kuhariviwa vibaya katika Snake Island, Urusi wameamua kuretreat. Sasa Ukraine kuanza kusafirisha mazao kupitia bandari ya Odessa.
 
Angalia Ukraine walivyo tumia Silaha za Kisasa kuwafurusha warusi na kutelekeza Mitambo yao Kisiwa cha Snake
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wameanza kuondoka kwenye kisiwa cha Snake. Ni baada ya kushindwa kuyazuia Makombora ya HIMARS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2278059
Hii vita Urusi asiposalenda atapata hasara kubwa Sana .Baada ya hiki kisiwa kukombolewa nasikia kinachofuata ni Crimea .Donabos muda sio mrefu inakombolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…