Waache waje mfa maji haaichi kutapa tapaUrusi inadai inataka iachane na Ukraine, badala yake Wanataka Warudishe jimbo la Alaska la Marekani. Wanadai Alaska ni Urusi sio Mareka. Wameanza kuweka mabango kwa Alaska ni Urusi.
View attachment 2283762
View attachment 2283766
Inaitwa kwa hisani ya watu wa marekani. [emoji41][emoji1787][emoji1787]Asante Marekani
View attachment 2283759
Urusi keshalipua Himars 18Kutoka kwa reporter alieko Frontline huko Ukraine.View attachment 2283441
Himars itamsaidia sana UkraineEti HIMARS zifanye kazi mchana tuzichakaze. Sasa leo zimefanya kazi mchana. Urusi mnasemaje?
View attachment 2283452
Muhimu sana ni ammunitions za umbali mrefu ili crimea bridge iondoleweMarekani na washirika wa NATO tayari wamekabidhi HIMARS MLRS tisa na mifumo kama hiyo kwa Ukraine - Danilov
"HIMARS tisa na mifumo kama hiyo ya makombora tayari inafanya kazi nchini Ukraine, Warusi hawana ulinzi dhidi ya HIMARS na wana wasiwasi mkubwa," katibu wa NSDC alisema.
View attachment 2283606
Huu uzi ni wa vita,Mkuu,
Kuna baadhi ya picha unazoziweka zinatosha na kuogopesha sana unatakiwa kutoa tahadhari kwa sisi wasomaji wako.
Sijui lakini kwa nini sijui @moderators wamekuacha ufanye hivi vitu pasipo kukudhibiti.
Na bita ni bita mura..Huu uzi ni wa vita,
Hadi Sasa imemsaidia saana kuwapush Russians back... Maana Hadi Sasa Russia hawana Namna ya kuzizuia HIMARS zinapenya tu!Himars itamsaidia sana Ukraine
Subiri tuikamate Vizuri Kherson. Daraja linaondoka tu.Muhimu sana ni ammunitions za umbali mrefu ili crimea bridge iondolewe
Ndo hali halisi ya Frontline.. Thread ya Vita ulitegemea usikutane na maiti 200 za Urusi? Inakuuma?Mkuu,
Kuna baadhi ya picha unazoziweka zinatosha na kuogopesha sana unatakiwa kutoa tahadhari kwa sisi wasomaji wako.
Sijui lakini kwa nini sijui @moderators wamekuacha ufanye hivi vitu pasipo kukudhibiti.
RUSSIA Wajinga sana, wameleta Propaganda kuwa HIMARS Wamezilipua zote, CNN wakalazimika kwenda kurekodi wakati zinafanya kazi.Hadi Sasa imemsaidia saana kuwapush Russians back... Maana Hadi Sasa Russia hawana Namna ya kuzizuia HIMARS zinapenya tu!
Majamaa yanaishi kwa propaganda hayo.RUSSIA Wajinga sana, wameleta Propaganda kuwa HIMARS Wamezilipua zote, CNN wakalazimika kwenda kurekodi wakati zinafanya kazi.
1.CNN Wakizionyesha HIMMARS Baada ya Russia Claims.
2.https://youtu.be/yaqXJGjCln8?t=104
Russia Propaganda.