Tatizo, hii hauwezi kupiga. Watakaoumia ni Raia. Hii unaweza piga masaki ikaenda Mbagala sababu si kwa kazi hiyo. Wanadai eti wameifanyia programing. Umeishiwa hadi ubadilishe matumizi?
Wameleta kushambulia Maghala ya Silaha ya Ukraine. Wameibadilishia matumizi.Sasa mkuu hii wameleta si ni kwa ajili ya ulinzi wa anga? Wameleta inaweza vipi kuzuwia HIMARS?
Warusi kweli wameanza kuchanganyikiwa.
Hivi mrusi yeye hana??HIMARS ni kiboko y mrusi
Azitolee wapi?Hivi mrusi yeye hana??
Hiyo kitu nmetoka kuifatilia u tube ni hatari kumbe inaweza kudungua hadi kombora..!Azitolee wapi?
Hii imemfanya Mrusia asisonge mbele kwa zaidi ya saa 35 hata hatua moja, Mrusia anajiuliza maswali na hapati majibu... Inatandika inahama...inatandika inahama Tena kwa Kasi Kama ya Subaru.Hiyo kitu nmetoka kuifatilia u tube ni hatari kumbe inaweza kudungua hadi kombora..!
Hapo mrusi ajipange
Hatari sanaHii imemfanya Mrusia asisonge mbele kwa zaidi ya saa 35 hata hatua moja, Mrusia anajiuliza maswali na hapati majibu... Inatandika inahama...inatandika inahama Tena kwa Kasi Kama ya Subaru.
Hadi aipatie dawa yake itakuwa ishamtoa damu saana, na USA sio kwamba ndio deadly weapon yake hapana... USA bado hajafungua hata ukurasa wa deadly stock zake.
Mkubwa ni mkubwa tu, USA hawezi kuwa Koro kwenye ishu za Vita kwa pesa na Brain aliyoinvest. Litakufa jitu!
Mmarekani anayo MOAB ile ndio mother of all bomb yaani ndio inazaa mabomu yote Duniani.Hatari sana
Hivi urusi si Wana nyuklia moja inaitwa "Tsar bomba" tunaambiwa ile ndo FOAB
Father of all bombs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo wapewe tu ammunition nzuri za kufika kerchHimars inajua ipige wapi
View attachment 2285809
Wameshakubali kutoa. Leo mzigo unafikaHapo wapewe tu ammunition nzuri za kufika kerch
Marekani imesema ina uwezo wa kuipa Silaha tofauti Ukraine kwa miaka kadhaa bila kuchoka. Yaani ikitoka hii inakuja huu. HIMARS za kawaida sana kwa MmarekaniHii imemfanya Mrusia asisonge mbele kwa zaidi ya saa 35 hata hatua moja, Mrusia anajiuliza maswali na hapati majibu... Inatandika inahama...inatandika inahama Tena kwa Kasi Kama ya Subaru.
Hadi aipatie dawa yake itakuwa ishamtoa damu saana, na USA sio kwamba ndio deadly weapon yake hapana... USA bado hajafungua hata ukurasa wa deadly stock zake.
Mkubwa ni mkubwa tu, USA hawezi kuwa Koro kwenye ishu za Vita kwa pesa na Brain aliyoinvest. Litakufa jitu!
Unataka apost nini ?? Umeitwa uku??🤬🤬🤬Acha kupost maiti boss