Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Duuh inasikitisha sanaRisasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov
View attachment 2291477
Ole ni wa Putin. Atauficha wapi uso wake???Poland inaleta Mzigo Ukraine. Hivi ni Vifaru vya Poland aina ya PT-91 Twardy. Vinasafirishwa kuja Ukraine.. Hivi vinatosha Battalion moja. Ila imeahidi kuleta Vifaru aina hii 232.
View attachment 2291650
Naam! Kilichompeleka Kherson ndicho alichojaliwa kukipata.Hatimaye picha ya Major-General Nasbulin, Chief of Staff wa Russia’s 22nd Army Corps imepatikana. Aliuawa Juzi kwa Makombora ya HIMARS huko Kherson
View attachment 2291660
Kilichompeleka huko ni kumwaga damu zisizo na hatia. Akiuwawa yeye kwanini tusilisifu jina lake Mungu?Naam! Kilichompeleka Kherson ndicho alichojaliwa kukipata.
Bado kidogo Bro. Inatakiwa waishe wavamizi wote ili Taifa litulie na Amani iwepo na watu wafanye kazi za maendeleo. Sio kubeba SMG,RPG, HG na makorokoro kama hayo kila siku kuwindana tu.Urusi wamekutana na Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni. Picha za Warusi leo Zinatosha.. Sababu wamekufa wengi
View attachment 2291658
Ngoja niongeze mbili za Risasi za KikatiliBado kidogo Bro. Inatakiwa waishe wavamizi wote ili Taifa litulie na Amani iwepo na watu wafanye kazi za maendeleo. Sio kubeba SMG,RPG, HG na makorokoro kama hayo kila siku kuwindana tu.