Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hamna makombora yasiyoonekana wewe mpuuzi. Vipi Urusi anaweza kuzuia HIMARS?
 
Una akili za kitoto mno
 
Mmhh; Mheshimiwa. Mbona tunaingia mwezi wa sita (zaidi ya siku 180)tangu ngoma ianze? Yy alisema ni sop. ya masaa 72 i.e. Three (3)days lakini mpaka sasa ziii. Huoni kwamba anafedheheka kwa Majigambo hayo(ikiwa ni pamoja na nyie pro-Urusi) na amebakia kukimbia-kimbia bila hata viatu? Je, anakimbia vijambo vyetu au kichapo? Jitafakari.
Usijidanganye bro. hakuna siku kuna Total War zaidi ya hii ambayo imemlazimu bila aibu ameshaenda kupiga magoti kwa Iran kuomba msaada.
 
Na HIMARS za kupiga umbali wa KM 300 zipo njiani zinakuja. Daraja la urusi huko Crimea likae mkao wa kula, litachapwa muda si mrefu.
Yaani hii vita ni ya Kidigitali zaidi... maana unaambia tutapiga point fulani na kweli panapigwa hapo na huna uwezo wa kuzuia au kudhibiti. Sasa hilo daraja cjui Mrusi atalihamisha kwa kulibeba au vp maana kesha ambiwa hilo ni sawa na halipo na hiyo ndo habari ya mjini.
 
Huyu dogo ana miaka 19 wapambanaji wenzake wanamuita "Zaporizhzhia Avenger" ndo aloangusha ndege ya Urusi aina ya Su-25 kwa kutumia Igla (Needle) man-portable-defense-system. Hii ni ndege ya Sita anaangusha. Pia kashaangusha cruise missile. Anapigiwa chapuo awe promoted.

Wakongwe wanamuuliza anafanyajefanyaje? Hajafikisha hata miaka 20
 
Dah; wakuu wa majeshi na majenerali wa ukweli ndio wanatakiwa waanzie level hizi sasa.
 
Asante boss.
 
Achana naye mkuu. Wanaujua ukweli. Nia yake mtukanane. Wafuasi wa Urusi wamejariwa matusi. Huwa siwajibu
 
Kuna picha imesambazwa na Urusi ya Gari la mizigo lililoshambuliwa la Ukriane. Ila Urusi imedai ni HIMARS. Jamaa kamuua kutoa tofauti ya hilo gari wanalodai ni HIMARS na HIMARS halisi. Angalia
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa hivi Urusi inaogopa kutunza silaha kwenye maghala ya silaha huko Mashariki mwa Ukraine, inachokifanya Urusi kwa sasa ni kupakua silaha huko mbali na kuzijaza kwenye magari ya kusafirishia na kuzipeleka msitari wa mbele. Hata hivyo hiyo ni risky pia itarudi kama mwanzoni mwa vita ambapo gari zilikuwa zinawindwa na drones na kulipuliwa.
 
Hata waziri wa Ulinzi kasema. Wakija kwa trucks ni Vizuri, sababu tunawapiga kuanzia nyuma. Mwisho wa siku wataishia kwao. Sasa akili ya Ukraine ipo Crimea.. Muda wowote kitawaka. Urusi tushawamudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…