kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Hamna makombora yasiyoonekana wewe mpuuzi. Vipi Urusi anaweza kuzuia HIMARS?Nyooo....marekani na ujanja wake wote hana defence system ya kuzuia makombora ya mrusi..calibr..supersonic..hayaonekan..nyie endeleeni kujamba jamba tuu..wakat mrusi bado yuko kwenye special operation..siku akisema ni total war..utakimbia na nguo kichwani na kathread kako uchwara haka