Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Aisee.....
 
Mbona wanaogopa kukanyaga Rangi nyekundu na nyeupe wanakanya Rangi ya blue ambayo inafanya na ile iliyopo kwenye bendera Yao? Au wanaogopa wakikamatwa watajitetea walikuwa wanakanyaga rangi ya bendera yao kuonyesha hawataki Zelensiky. Kumbuka wamejifunga rangi hiyo hiyo ya blue.
====
Hakikisha umejipanga unapoleta picha za namna hii. Ha ha ha haaaa!
 
Nackia raha mpk ndani ya moyo
Ha ha haaaa! Mimi tayari nimekuandali taulo la kufuta machozi wakati huo unakuja. Kwa Sasa furahi.

Lakini unaweza kuepuka kufuta machozi kwa baadaye kama utaamua kukutafuta ukweli juu ya Mgogoro huu uliosababisha "operation denazification and demilitarization" ianze.

Karibu.
 
Tunaomba chanzo cha habari yako hii. Kwa sababu tunajua haupo Front line huko Ukraine.
Mkuu, Uko sahihi lakini sio lazima uwe kwenye eneo la tukio ili uweze kutoa taarifa. Kumbuka Teknolojia ime-advance kiasi kwamba hakuna tena jambo lililofichika chini ya hili jua. Hawabahatishi au tuseme sio "Probability of an event" - vinginevyo ajitokeze anayekanusha kwa uthibitisho. Kumbuka majuzi kati hapo wapo jamaa walikuwa wakisema Mrusi hafi lakini zilipoanza kuwekwa picha za mizoga yao ikiwepo na ile walioshindwa kuibeba ck hizi wapo kimya.......
 
Tutadhibitishaje kuwa ipo mikononi mwa Ukraine? Maana picha hii hadhibitishi hilo.
Bukyanagandi Qibsyl Galip Vrl
1. Fanya stocktaking na kuona kama kuna upungufu wa dude moja kati ya yaliyokuwepo mali ya Urusi.
2.Kuwepo kwa Dude hilo miongoni mwa vifaa-vita vinavyomilikiwa na Ukraine.
3. Tusubiri Mrusi aliyepokonywa dude lake aje kulalamika kudai upotevu wa dude lake moja.
(Nachangamsha tu jamvi samahani 🙂)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…