Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.....View attachment 2294829
View attachment 2295224
Baada ya M270 Multiple Launch Rocket Systems za Marekani kuingia Ukraine, Urusi wamehamisha meli zao za Kivita kutoka bandari ya Sevastopol iliyopo Crimea na kuzihamishia bandari ya Novorossiysk nchini Urusi. Ni baada ya kundua M270 MLRS, ina uwezo wa kufika kwenye hiyo bandari ya Crimea na Makombora yake hayazuiliki. Ndo maana tunasema, Soon Crimea inarudi.
View attachment 2294826View attachment 2294828View attachment 2294827
Hapa penye rangi, ndipo MLRS inaweza kupiga bila kuhama Position
Kufika ni Jambo moja kuzitumia ni Jambo lingine.Kati ya HIMARS 20 zinazoletwa Ukraine, 12 zimeshafika tena salama.
View attachment 2298238
Hilo linaenda polandElectronic warfare station ya Urusi sasa mikononi mwa Ukraine
View attachment 2298228
Tunaomba chanzo cha habari yako hii. Kwa sababu tunajua haupo Front line huko Ukraine.Urusi Wameshambulia kusinini mwa Donetsk bila kujua Wamewekewa mtego. Wamechakazwa hadi Wameretreat katika miji ya Novoselivka Druha, Novomykhaylivka na Mykil's'ke. Wamekufa Warusi wengi
View attachment 2298234
Tutadhibitishaje kuwa ipo mikononi mwa Ukraine? Maana picha hii hadhibitishi hilo.Electronic warfare station ya Urusi sasa mikononi mwa Ukraine
View attachment 2298228
Mbona wanaogopa kukanyaga Rangi nyekundu na nyeupe wanakanya Rangi ya blue ambayo inafanya na ile iliyopo kwenye bendera Yao? Au wanaogopa wakikamatwa watajitetea walikuwa wanakanyaga rangi ya bendera yao kuonyesha hawataki Zelensiky. Kumbuka wamejifunga rangi hiyo hiyo ya blue.
Poland wanasema wa Ukraine wazushi. Wanatia takwimu za uongo!!! Kambi imesambaratika.
Hivi ile himars mlouziwa iko wapi?Tunaomba chanzo cha habari yako hii. Kwa sababu tunajua hapo Front line huko Ukraine.
Ha ha haaaa! Mimi tayari nimekuandali taulo la kufuta machozi wakati huo unakuja. Kwa Sasa furahi.Nackia raha mpk ndani ya moyo
Mkuu, msaidie mwenzako kuleta Ushahidi. Ni hilo tu.
Sasa Wametoa ushuhuda na Ushuhuda huo utapelekea hata wale wengine wanaodhani Ukraine ni kichwa cha mwenda wazimu mahali pa kujifunzia Uvamizi wabadili nia yao chap.Wanajeshi wa Urusi wameshuhudia Shambulio la HIMARS. Hawa waliorekodi ni Askari wa Urusi😂😂
View attachment 2298224
Hey! Hii inaweza kuwa ndo "kanyaga twende" ? Imenikumbusha mbali sana enzi za JKT.
Eeehee! Sasa mwinda atakuwa mwindwaji.Electronic warfare station ya Urusi sasa mikononi mwa Ukraine
View attachment 2298228
Hili ni Tangazo rasmi la kuongezeka vilio na simanzi kwa Mrusi.Kati ya HIMARS 20 zinazoletwa Ukraine, 12 zimeshafika tena salama.
View attachment 2298238
Nakazia. Na kichapo kitapanda kuwa cha viwango vya mbwa mwizi.Safi sana
Mkuu, Subiri kidogo halafu uje tena hapa utuelezee au utoe ushuhuda.Kufika ni Jambo moja kuzitumia ni Jambo lingine.
Mkuu, Uko sahihi lakini sio lazima uwe kwenye eneo la tukio ili uweze kutoa taarifa. Kumbuka Teknolojia ime-advance kiasi kwamba hakuna tena jambo lililofichika chini ya hili jua. Hawabahatishi au tuseme sio "Probability of an event" - vinginevyo ajitokeze anayekanusha kwa uthibitisho. Kumbuka majuzi kati hapo wapo jamaa walikuwa wakisema Mrusi hafi lakini zilipoanza kuwekwa picha za mizoga yao ikiwepo na ile walioshindwa kuibeba ck hizi wapo kimya.......Tunaomba chanzo cha habari yako hii. Kwa sababu tunajua haupo Front line huko Ukraine.
1. Fanya stocktaking na kuona kama kuna upungufu wa dude moja kati ya yaliyokuwepo mali ya Urusi.Tutadhibitishaje kuwa ipo mikononi mwa Ukraine? Maana picha hii hadhibitishi hilo.
Bukyanagandi Qibsyl Galip Vrl