figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,301
Huyo ni black?Ukisikia Risasi za Kikatili za vijana wasio na kanuni Azov ndo hizi. Tumeelewana? Walishakataa mambo ya kuteka Warusi. Wanakwambia waliapa Jeshini kuua adui
View attachment 2301071
Wanajijua!!!Akina Nani wanaozitaka?
Mkuu tulia hapa kwenye huu uzi upate habari na ushahidi wa picha na video sio kule kwenu mnapigana kamba na habari fake za warusi za telegram. Majuzi hapa mlisema zelensky yupo kwenye critical condition jamaa akawajibu kwa kupost short video clip.Wanajijua!!!
Kwa moto huu lazima wapoteane. πππ
Ndo maana zile K52 hazipiti piti tena UkraineHii inaitwa Stormer HVM (High Velocity Missile) air defense systems. Inaweza ikadetect ndege na Helkopta zikiwa umbali wq 18 km na 8 km. Sasa 6 zipo Frontline. Zimetoka Uingereza
View attachment 2302859
Wanatunguliwa kizembe sanaNdege ya Urusi Su-25
View attachment 2302867
Sisi twaonesha picha, wao hata picha hawanaMavamizi yanazidi kuteketea.