Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220725_042311.jpg
20220725_042314.jpg
 
Hii inaitwa Stormer HVM (High Velocity Missile) air defense systems. Inaweza ikadetect ndege na Helkopta zikiwa umbali wq 18 km na 8 km. Sasa 6 zipo Frontline. Zimetoka Uingereza
 
Wanajijua!!!
Mkuu tulia hapa kwenye huu uzi upate habari na ushahidi wa picha na video sio kule kwenu mnapigana kamba na habari fake za warusi za telegram. Majuzi hapa mlisema zelensky yupo kwenye critical condition jamaa akawajibu kwa kupost short video clip.

By the way tunaomba picha za HIMARS nne zilizoripuliwa na urusi mkuu.
 
Mavamizi yanazidi kuteketea.
 

Attachments

  • Screenshot_20220725-113735.jpg
    Screenshot_20220725-113735.jpg
    414.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom