Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hatimaye Urusi Wameungama kwamba wamepoteza Vifaru 300 tangu Vita uanze. Vifaru ambavyo Ukraine wameteka au kuharibu, ni vifaru aina ya:19 T-90As, 18 T-80BVMs, 48 T-80Us, 70 T-72B3 Obr. 2016s na 31 T-72B3s.

Vifaru vilivyoteketezwa ni 1019, Vifaru vilivyopata uharibifu mdogo ni 38, Vifaru vilivyo telekezwa ni 233, na Vifaru vilivyo tekwa nyara ni 760

Kuna hawa Warusi Wameuawa bahati mbaya. Kwa atakaye wajui atoe taarifa kwa familia zao
 
Ila Warusi hawataisahau siku ya leo 29 Machi 2022.
Your browser is not able to display this video.
 
Leo timu ya waruasi leo mtananisamehe. Napost picha zinazowauma ili muwe na adabu
Hapa ni leo Kharkiv
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Urusi tunawakamata kama Kuku wa kisasa
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wanalalamika baridi, njaa, wenzao wamekufa..
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu dogo baada ya kuzidiwa, akapost Instagram akiwaaga Warusi wenzie. Hata hivyo hajauawa. Wametekwa nyara tu
Your browser is not able to display this video.
 
Leo tarehe 29 Machi 2022, karibia na Mji wa Kharkiv, Jeshi la Ukraine limemuua Colonel Denys Kurilo. Katika brigedia ya 200th ya Urusi, zaidi ya Wanajeshi 1,500 wameua.
 
Kifaru cha Urusi aina ya A 9P149 Shturm-S ATGM
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe yule Kamanda, colonel Sukharev alishakukufa tangu tarehe 18 Machi 2022. Warusi wametangaza wenyewe. Sisi tulisema wakasema ni propaganda.
 
Haijajuliakana huyu mkulima kaokota kifaa gani🤣🤣anakipeleka kwake atajua mbele ya safari

UPDATE

Imejulikana. Ni IMR-2. IMR ni Inzhenernaya Mashina Razgrazhdeniya (Clearing Engineering Vehicle).
Your browser is not able to display this video.
 
Niliwaambia. Tuneanza kujichukulia haya magari. Tumeanza na baba lao Tigr-M
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi haiwapi chakula wanajeshi wake wote?Hawa wamekutwa wamekufa bila jeraha wala uvimbe wowote. Daktari kasema walikufa sababu ya baridi na Njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…