figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #401
Hadi sasa hivi ndivyo Vifaa Urusi wamepoteza. Takwimu za 29 Machi 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliiNyie nao anzisheni uzi wenu, huu uzi ni kwaajili ya Ukraine tu. Russians anzisheni wenu
SawaNipe links za sites unazoingia kupata info
Unapenda propaganda ww njemba......Wanajeshi wa Urusi tunawakamata kama Kuku wa kisasa
View attachment 2168383
Niliwaambia. Tuneanza kujichukulia haya magari. Tumeanza na baba lao Tigr-MJeshi la Urusi baada ya kuona Vifaru vyake vinachukuliwa na Ukraine, wameamua kutumia Pickups. Mwaka huu 2022 Ukraine ndo nchi inayoongoz kuwa na Vifaru vya Urusi kwenye Soko la Dunia la Silaha.
Nazo tutazibeba🤣🤣🤣
View attachment 2167324