Hizi kitu zinaraha yake mkuu. Russia mpaka sasa kichwa kinamuuma haziwezi.Natamani kuwa operator wa HIMARS πππ. Kuna raha yake ikianza kutema vitu, ndo maana warusi wakisikia imetua sehemu lazima wachanganyikiwe.
Na mbado madaraja na miundombinu nyingine........Hizi kitu zinaraha yake mkuu. Russia mpaka sasa kichwa kinamuuma haziwezi.
Zinafyeka maghala ni hatari
Mkuu, wale wapiganaji almaaruf kama LEGION wanaendeleaje? Cjawasikia tena mkuu. Kama una updates plz. tupatie.Asante kwa masahihisho mkuu. Ni kweli kabisa
Waendelee vipi? Mbona sikuelwi?Mkuu, wale wapiganaji almaaruf kama LEGION wanaendeleaje? Cjawasikia tena mkuu. Kama una updates plz. tupatie.
Waongo. Urusi wameua wapambanaji wetu Makusudi. Wanafanya hivyo kama Kisasi kwa Avov. Azov ambao wanakamatwa wanaua sana Warusi. Na wameapa watazidisha, safari hii wataua Warusi kwa mateso. HIMARS inashambulia Maghala ya Silaha na risasi. Hata daraja HIMARS haijahusika kama Urusi wanavyodaiUrusi yasema Ukraine imeshambulia kambi iliyokuwa yatumika kama magereza ya Azov, imeua Azov 45+, 75 majeruhi
Himars zilitumika
Ukraine hajathibitisha wala kukataa, ila kinachoonekana ni Warusi wameuawa
HIMARS ni aina ya Silaha inayotengenezwa Marekani. HIMARS kirefu chake ni High Mobility Artillery Rocket SystemJamani naomba wadau mnieleweshe hii Himars maana yake ni nini? Au ni muunganisho wa jeshi ipi? Tafadhalini wadau mnisidie
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Haya mazuzu lazima yafurushwe ndani ya ukraine adha waizi yatakufa sana.Power ya Tekinolojia, Askari wa Ukraine wanatumia drone ndogo sana walizozibebesha milipuko, wanazirusha mpaka sehemu yalipo majeshi ya Urusi hata kama ni ndani ya Jengo zinajilipua na kuwapelekea maafa
View attachment 2308620
Wamesahau kipindi kile walipojaribu kuvuka mto wakachapwa kwelikweli, almost battalion nzima ilikuwa wiped out!View attachment 2308682
Mkuu figganigga wameingia mtego uliosema hawa inabidi waviziwe wafe kwa wingi kama kuku.
Mkuu, Nashukuru. Hicho ndicho nilichohitaji.Waendelee vipi? Mbona sikuelwi?
Hawa hapa wakiwa wameteka Wanajeshi wa Urusi
View attachment 2308449View attachment 2308450
Tena manpadsHaya mazuzu lazima yafurushwe ndani ya ukraine adha waizi yatakufa sana.
Another Su 25 imeenda na maji huko Donetsk.
Usidanganywe na mapicha yakuokoteza hapa. Maeneo mapya ya Ukraine kila siku yanachukuliwa. Jana tu karibu majimbo 3 yame chukuliwa.HIMARS zingewahishwa tangu hii vita inaanza nadhani mpaka Crimea ingekua isharudi Ukraine
Wamehamisha muda mrefu, kuna siku nimepost kuwa kuna lifters zinafanya shanting kati ya crimea na urusiUrusi walinusa shambulio la leo Crimea. Jana Wamehamisha Vifaa vya Uhandisi kutoka Crimea na kuvirudisha Urusi. Leo Makao Makuu ya Jeshi la Majini la Urusi Mkoani Crimea, limeshambuliwa na Drone. Kazi imeanza.
View attachment 2309835
Tutajie hayo majimbo mkuu..Usidanganywe na mapicha yakuokoteza hapa. Maeneo mapya ya Ukraine kila siku yanachukuliwa. Jana tu karibu majimbo 3 yame chukuliwa.