Majamaa ni makatili kweli kweli. Yaan hawana hata zile sindano za kupumbaza mtu asiyasikie maumivu? Basi pia hawana hata ubunifu (Under field conditions). Kwa nini wasitumie hata hayo mapombe yao makali wanayokwenda nayo huko vitani?Wanajeshi wa Urusi wanalalamikiwa kwa kumuua mwenzao wakati wa kuretreat. Wanadai alikuwa analalamika kuumia hadi anatoa sauti kwa nguvu, wakaona watafanya Ukraine wajue walipo ndo wakampiga ya kichwa.
Kwanini wasingembeba kwa machela?
View attachment 2310177
Lazima wachanganyikiwe na kuvurugikiwa akili kwani hawana uwezo na hiyo kitu - wamebaki tu kukubaliana na matokeo. Aisee, Mrusi hatokaa aisahau hii vita milele.Mjomba HIMARS anaogopwa na warusi balaa. Wakisikia kakohoa wanachanganyikiwa. 😂😂😂
Natamani kusikia Crimea imerudi Ukraine.Lazima wachanganyikiwe na kuvurugikiwa akili kwani hawana uwezo na hiyo kitu - wamebaki tu kukubaliana na matokeo. Aisee, Mrusi hatokaa aisahau hii vita milele.
Na pia natamani vita iishe Ukraine akiwa ameshinda (Ameibuka kidedea) na Mrusi arudi kwake akauguze majeraha yatokanayo na Ujinga wake na Ubabe wa kuvamia nchi za wenzake(Ukraine) bila sababu.Natamani kusikia Crimea imerudi Ukraine.
Hayana hata MorphineMajamaa ni makatili kweli kweli. Yaan hawana hata zile sindano za kupumbaza mtu asiyasikie maumivu? Basi pia hawana hata ubunifu (Under field conditions). Kwa nini wasitumie hata hayo mapombe yao makali wanayokwenda nayo huko vitani?
Hawana Umoja (Solidarity) wakati wa hali tete uwanja wa medani.
Dalili zote zimeonekana kuwa Ukraine anashinda vita hii. Angalia Kherson muda wowote inarudi. Rais kutangaza wananchi waondoke Donetsk maana yake wanataka kumaliza kazi mapema. Unajua kupigana ndani ya nchi yako maeneo ya makazi ni ngumu sana maana unaogopa kuua raia wako.Na pia natamani vita iishe Ukraine akiwa ameshinda (Ameibuka kidedea) na Mrusi arudi kwake akauguze majeraha yatokanayo na Ujinga wake na Ubabe wa kuvamia nchi za wenzake(Ukraine) bila sababu.
Hii vita Mrusi hawezi kushinda. Kwa uwezo aliokuwa anadanganya anao, alitakiwa sasa hivi awe anapigana Kyov sio Kherson sijui Donbas. Luhansk, Donbas Kherson ni mpakani mwa Ukrusi, so Wanarusha Makombora kutokea ndani ya Urusi. Tunahesabu siku ya 15 Urusi haijateka wala kijiji. Acha kuteka. Haijasogea mbele hata rula moja. Sana sana tunaona wanarudi nyuma.Na pia natamani vita iishe Ukraine akiwa ameshinda (Ameibuka kidedea) na Mrusi arudi kwake akauguze majeraha yatokanayo na Ujinga wake na Ubabe wa kuvamia nchi za wenzake(Ukraine) bila sababu.
Hii vita Mrusi hawezi kushinda. Kwa uwezo aliokuwa anadanganya anao, alitakiwa sasa hivi awe anapigana Kyov sio Kherson sijui Donbas. Luhansk, Donbas Kherson ni mpakani mwa Ukrusi, so Wanarusha Makombora kutokea ndani ya Urusi. Tunahesabu siku ya 15 Urusi haijateka wala kijiji. Acha kuteka. Haijasogea mbele hata rula moja. Sana sana tunaona wanarudi nyuma.
Kama kuna mtu mwenye mawazo hayo basi huyo amefilisika kabisa kimawazo. Yaani ameshindwa kabisa hata kuelewa ni nini maana ya vita? au anadhani ni yale maigizo e.g. ya akina Schwarzeneger ambapo Sterling siku zote hafi? Hata hizo chata "Z" hazioni kwenye mavazi ya maiti?Eti Ukraine hana uwezo wa kuua mwanajeshi hata mmoja 🤣🤣🤣
View attachment 2310257
That's very good logic. Hii ni plan nzuri kwani kuhama huko ni kwa muda tu kwani baada ya "kazi" kumalizika watarudi kuendelea na maisha. Safi sana.Dalili zote zimeonekana kuwa Ukraine anashinda vita hii. Angalia Kherson muda wowote inarudi. Rais kutangaza wananchi waondoke Donetsk maana yake wanataka kumaliza kazi mapema. Unajua kupigana ndani ya nchi yako maeneo ya makazi ni ngumu sana maana unaogopa kuua raia wako.
They are getting what they deserve.