figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #4,701
Wewe jamaa saiz maanza kukuelewa , jana jamaaa wamelalamikia kikundi cha azov wanakitafsir ni kikundi cha kigaidHuyu mwanajeshi wa Urusi alivyoambiwa haya simama uondoke, akajua Azov amemsamehe. Azov wanasema wameapa kuua adui sio kusamehe. [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2313687
Naam! Wakisonga mbele kwenda kumwadabisha mvamiziFrontline ya Ukraine wakisonga mbele
View attachment 2313446
Hadi raha kutumia technology ya kisasa kumwangamiza adui. Kama kunguru anavyodonoa kumbikumbi. Ukiingia to kwenye target lazima kende ziruke juu πππ
ππ natamani nikaokote scrapers za Vifaru vya fashisti.Kwa wale wanaopenda Video za mnyato
View attachment 2313448
Hatari sana hii kitu. Shikamoo HIMARSHizi ni HIMARS nne zilishambulia Warusi walipo. Tuliwapa mtego wao wakawa wanajua HIMARS zinatumika usiku tu sababu zina uwezo wa kuona Adui alipo hata kama ni giza totoro. Sasa hajaami walivyoshambuliwa M142 HIMARS kwa kutumia M31A1 GMLRS. Kirefu cha GMLRS ni Guided Multiple Launch Rocket System.
View attachment 2313467
Yeeeaaaah. Safi sana. Zamani tulisemaga Good, Gooder, Goodest. Halafu Teacher anatuchapa. Hiyo ndo akili ya Mrusi. Ukraine anamfundisha asivamie hovyo nchi za Waliotulia.Hapa ni Urusi karibu kabisa na Moscow. Na hili ni ghala. LEGION wana mipango mikali sana.
View attachment 2313676
Mhh! Napendekeza: Warusi wachague kubaki Ukraine au Waondoke haraka sana iwezekanavyo.Warusi waondoke Ukraine
View attachment 2313681
Utadhani wamemwagiwa upupu.Angalia Urusi wanavyo tafutana baada ya kambi yao ya Jeshi kulipuliwa na HIMARS. Hapa ni brilivka
View attachment 2313651
Waliamini kabisa kwamba wanaenda kushiriki bufee lililoandaliwa na Ukraine.Wanajeshi wa Urusi bana.. Sasa vijiko na Umma vya niniπ€£π€£
View attachment 2313689
Etieeh. Hao waliokwisha legalise same-sex marriages walikuwa wanalipia kwa njia hii baada ya kuwa wamemaliza kupokea vifaru kutoka wapi??View attachment 2313807
Mkimaliza kupokea vifaru mtalipia kwa njia hii
Mkuu, Safi sana. Uzi leo umechangamka kweli-kweli. Hapa jamvini cjawaona Warusi wa Rau madukani.Leo napost Mapambano yaliyorekodiwa live Frontline. Kujeruhiwa ukiwa Frontline kawaida tu. Just kufumba na kufumbua.
Hawa ni Wanajeshi wa 92 OMBR au Ivan Sirko 92 Mechanized Brigade wakipambana na Wanajeshi wa Urusi. Mwanajeshi wetu mmoja alijeruhiwa kwa risasi mkononi.
SEHEMU YA KWANZA
View attachment 2313603
π Home-boy!, subiri kwanza vita iishe hata mm nitaku-accompany tukajizolee maskrepa ya vifaru na magari ya Fashisti.ππ natamani nikaokote scrapers za Vifaru vya fashisti.
Urusi wanapelekewa moto
View attachment 2313580
We hiki ni kifaru...?? π π π πKwa wale wanaopenda Video za mnyato
View attachment 2313448