Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IMG_20220804_092100_107.jpg
 
Hapa ni Kherkiv, Kikosi cha Ukraine cha 45th Brigade kimesambaratisha Magari ya Kijeshi ya Urusi yaliyokuwa yakishambulia Frontline wa Ukraine
Hadi raha kutumia technology ya kisasa kumwangamiza adui. Kama kunguru anavyodonoa kumbikumbi. Ukiingia to kwenye target lazima kende ziruke juu 😂😂😂
 
Hizi ni HIMARS nne zilishambulia Warusi walipo. Tuliwapa mtego wao wakawa wanajua HIMARS zinatumika usiku tu sababu zina uwezo wa kuona Adui alipo hata kama ni giza totoro. Sasa hajaami walivyoshambuliwa M142 HIMARS kwa kutumia M31A1 GMLRS. Kirefu cha GMLRS ni Guided Multiple Launch Rocket System.
View attachment 2313467
Hatari sana hii kitu. Shikamoo HIMARS
 
Leo napost Mapambano yaliyorekodiwa live Frontline. Kujeruhiwa ukiwa Frontline kawaida tu. Just kufumba na kufumbua.

Hawa ni Wanajeshi wa 92 OMBR au Ivan Sirko 92 Mechanized Brigade wakipambana na Wanajeshi wa Urusi. Mwanajeshi wetu mmoja alijeruhiwa kwa risasi mkononi.

SEHEMU YA KWANZA
View attachment 2313603
Mkuu, Safi sana. Uzi leo umechangamka kweli-kweli. Hapa jamvini cjawaona Warusi wa Rau madukani.
 
Propagandists wa Kirusi wanasambaza picha na video feki kuwa wamepiga HIMARS kumbe wamepiga gari ya kuvutia mizinga ya M777 ambayo ina kichwa kama HIMARS lakini ni tofauti



20220804_110306.jpg

HIYO YA JUU NDO WAMEPIGA

Lakini wao wanadai eti wamepiga hii ya Chini

20220804_110100.jpg

HII NDO HIMARS

Sasa angalia uso wa HIMARS ambayo ina Screw nne usoni zilizokaa horizontal, halafu linganisha na hii picha wanayosambaza eti HIMARS imepigwa.

20220804_110040.png

Utaona wazi hii picha ya gari iliyoharibiwa inafanana na ile picha ya gari la mwanzo lakini siyo HIMARS
 
Back
Top Bottom