Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukiachana na Nuklia Russia asha tumia kila salah zote alizo nazo.nilicho jifunza kama Wanchi hawakutaki huwezi shinda vita yoyote hii imedhihilika Vietnam na Ukraine.
 
Usiumize kichwa kuelezea. Warusi hawaelewi. Sisi tuwaondoe. Wanatamani HIMARS moja wailipue wapate Stori. Hawana cha kuongea.
 
Usiumize kichwa kuelezea. Warusi hawaelewi. Sisi tuwaondoe. Wanatamani HIMARS moja wailipue wapate Stori. Hawana cha kuongea.
Watatamani sana lakini tamaa yao hiyo ndo itazidi kuwafanya wapukutishwe na HIMARS hiyohiyo wanayoinyatia-nyatia. Bado kidogo watalipua Guta na kwa kuchanganyikiwa watasema ni HIMARS.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gololi zimeshazama tumboni.
Ulitakiwa wawe wameshakuwa mzoga.
Ndio tena kabisa. Wawe wameshakuwa mzoga. Nilisikitika sana kuona wanakata nyeti za wenzao. Shenzi sana hao jamaa.
 
Nasikia wavamizi wameanza kutaka negotiation na ukraine. Hali tete wamezamia mtumbwi wa vimbwengo wanaomba poo.
 
Watatamani sana lakini tamaa yao hiyo ndo itazidi kuwafanya wapukutishwe na HIMARS hiyohiyo wanayoinyatia-nyatia. Bado kidogo watalipua Guta na kwa kuchanganyikiwa watasema ni HIMARS.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasikia wavamizi wameanza kutaka negotiation na ukraine. Hali tete wamezamia mtumbwi wa vimbwengo wanaomba poo.
Hapana -Hiyo Hikubaliki. Wasubiri kwanza dawa iingie vizuri wasilete za kuleta apa.
 
Hiyo nafasi ya negotiation hawatakiwi kupewa kabisa. BIG NO NO.
Naunga mkonoooo: Wameona nini hadi waombe negotiations jioni hii? Majigambo waliyokuwa nayo asubuhi yameisha na mashavu yamewashuka? HAKUNA cha msalie Mtume hapo bwashee; ni kutembeza kichapo tuu kwa hao kenge mpaka kieleweke.
 
πŸ˜€ Home-boy!, subiri kwanza vita iishe hata mm nitaku-accompany tukajizolee maskrepa ya vifaru na magari ya Fashisti.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ikungulyambiti nitakuwa agent wa scraper za Vifaru. πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…