Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚anauona kabisa mwisho wa dunia umefika. Anaangalia jamaa kwa jicho la huruma
Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.
 
HIMARS linanipa raha sana ule mdude; dah! Popote penye aina yoyote ya wave (radio, x-ray, etc.) nearby within its sphere of influence; linanusa, linafanya calculation kwa kasi ya mwanga, likigundua ni waves za adui halina namna nyingine zaidi ya kupeleka moto! Bonge la kifaa daadeki!
 
HIMARS anapenda minuso hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Akisikia harufu tu kashatua.

Likianza kutema kete ndo unaona raha ya kuwa na machine kama hiyo.

Ukisikia mwanaume machine ndo HIMARS mwenyewe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Wakuu kuna habari ya kushambuliwa kwa kambi ya wagner ambapo inasadikiwa wamepotezwa kama 100 hivi. Naomba mwenye news zaidi
 
Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.
Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Duuh pongezi...bila hizi ripoti zako sisi tulio na mb za kuunga unga sijui tungepata wapi taarifa....maana youtube vifurushi viko juu
 
Tunakuombea kwa Mungu akulinde na kukuepushia mabalaa udumu katika HUDUMA hii ili tupate Taarifa zenye ukweli na uhakika - AMINA.
 

Huko crimea tena kimewaka. Ghala la silaha la mrusi limelipuka huko Maisk'e village. Ministry of Defense ya Russia wanasema imesababishwa na moto
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tunakubaliana nao kuwa imesababishwa na moto wa HIMARS
 
Leo Ukraine wameendelea kukinukisha Crimea. Hii kwa leo inatosha, si kwa maafa haya. Ghala kubwa la Silaha na risasi za Mrusi huko Crimea zimekwenda na maji. Sasa watafanyaje? Wafuasi wa Ukraine toshekeni.. Haya ni maangamizi makubwa, sione sababu ya kuendelea kupost leo. Tujipumzishe tuongalie hizi footages
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ