mabui melafulu
Member
- Aug 17, 2018
- 73
- 83
Wanagongana wenyewe kwa wenyewe dah, drone zinawatesa sana.Hawa Warusi waliokolewa na upepo ulioyumbisha kombora. Drone zinakuwa juu sana kiasi kwamba mlio hausikiki. Wakati wa kuachia Kombora kama kuna upepo linakosa shabaha
View attachment 2332324
Hatari sana. Hadi majeruhi anapona na.kuanza kukimbia. Gafla maumivu yameisha. Akaona isiwe tabu acha niswepe 😂😂😂😂Hawa Warusi waliokolewa na upepo ulioyumbisha kombora. Drone zinakuwa juu sana kiasi kwamba mlio hausikiki. Wakati wa kuachia Kombora kama kuna upepo linakosa shabaha
View attachment 2332324
HahahaaaHawa Warusi waliokolewa na upepo ulioyumbisha kombora. Drone zinakuwa juu sana kiasi kwamba mlio hausikiki. Wakati wa kuachia Kombora kama kuna upepo linakosa shabaha
View attachment 2332324
Usinilinganishe na wapuuzi. Tafadhali. Thread yao ipo kasome wanachopost. Hapa tunazungumzia maendeleo na mafanikio ya Ukraine sio Urusi.Tuletee wewe hali iliyo ya kweli na ushahidi ili tupime nani mr. Porojo, wewe au figganigga
Kwa maneno mengine ni kwamba Mtu aliyeikalia kimabavu Crimea, ambaye si mwingine bali ni Mrusi, anatakiwa aondoke chap mara moja kwani anavunja Sheria za Kimataifa.Rais wa Uturuki Erdogan amesema Crimea ni ardhi ya Ukraine kulingana na Sheria za kimataifa. Hivyo kama kuna mtu kaikalia Crimea kimabavu aondoke.
View attachment 2332781
Siku zote ,hata wahenga walisema "Tamaa mbele Mauti nyuma" Tamaa ya Mrusi iliyopelekea kunyakua kimabavu ardhi ya Ukraine HAKIKA ndio inayomletea Mauti yanayomkabili sasa. Hakuna rangi ataacha kuona.Cremea ndo hii ilozungushiwa duara, Urusi anadai ni kwake wakati ipo Ukraine
View attachment 2332817
Hivi umeketi ukajiuliza wakaazi wa Crimea wanatakaje? Wenyewe walipiga kura kwa 2014 2014 referendum wakaamua kujitenga. Kama unavyona kwenye ramani, wakaazi wa Crimea na magharibi mwa Ukraine wote ni ethnic Russians, na wamekuwa wakinyanyaswa na ethnic Ukranians.Cremea ndo hii ilozungushiwa duara, Urusi anadai ni kwake wakati ipo Ukraine
View attachment 2332817
Mkuu; Labda nikuulize hivi: Nani aliwawezesha au ni Nani alikuwa nyuma ya hayo matokeo? Hapakuwepo na shinikizo?Hivi umeketi ukajiuliza wakaazi wa Crimea wanatakaje? Wenyewe walipiga kura kwa 2014 2014 referendum wakaamua kujitenga. Kama unavyona kwenye ramani, wakaazi wa Crimea na magharibi mwa Ukraine wote ni ethnic Russians, na wamekuwa wakinyanyaswa na ethnic Ukranians.
View attachment 2332832
You nailed itMkuu; Labda nikuulize hivi: Nani aliwawezesha au ni Nani alikuwa nyuma ya hayo matokeo? Hapakuwepo na shinikizo?
Je, hiyo kura ilikuwa kura Huru? Suala la Ethnicity ni hoja ya kizamani sana iliyopitwa na wakati. Watu wako huru kuishi popote alimradi tu wafuate Taratibu za nchi husika. Yaani tukishabikia ukabila... daah! e.g. Mmasai wa Kenya aseme ni Mtanzania kwa sababu Wamasai wapo Tanzania?. Kuongea Ki-Russia au kuwa na mila na desturi za Ki-russia haihalalishi au hakumfanyi mtu awe Mrusi. Hivo ni vitu mtu aweza kujifunza. Lakini Sheria inabainisha mipaka, wapi ni mwanzo wa Nchi na mwisho n.k. na inatambulika kiMataifa.
Unyonge na kunyanyaswa kunategemea mental perception ya Mtu. Wapo watu wanapenda upendeleo wa hapa na pale. Asipopata anadai kunyanyaswa. e.g. Mtu huna vigezo say kitaaluma lakini unataka uajiriwe kama Mtaalam. Ukikataliwa unazua hoja ya upendeleo na kunyanyaswa.
Hivi Arusha wakisema tunajiunga kenya Tanzania itakubali?. Wananchi wanaweza kuwa wanapenda kuwa Warusi hawakatazwi. Tatizo ni ardhi ya Ukraine kwenda Urusi. Lini ardhi ilisema inataka kweda Urusi? Wanaotaka kwenda Urusi hawakatazwi. Tatizo ni ardhi ya Ukraine kwenda Urusi. Ndipo Mvutano ulipo sio watu kuitaka Urusi. Ukraine walikuwa wapole sababu hawakuwa na nguvu ila sasa nguvu ipo na Crimea inarudi. Anayetaka Urusi aende Urusi apewe uraia sio Urithi wa watoto wetu uende UrusiHivi umeketi ukajiuliza wakaazi wa Crimea wanatakaje? Wenyewe walipiga kura kwa 2014 2014 referendum wakaamua kujitenga. Kama unavyona kwenye ramani, wakaazi wa Crimea na magharibi mwa Ukraine wote ni ethnic Russians, na wamekuwa wakinyanyaswa na ethnic Ukranians.
View attachment 2332832
You made a point, It is not people's wish but Crimea is ukrainian teŕritorialHivi Arusha wakisema tunajiunga kenya Tanzania itakubali?. Wananchi wanaweza kuwa wanapenda kuwa Warusi hawakatazwi. Tatizo ni ardhi ya Ukraine kwenda Urusi. Lini ardhi ilisema inataka kweda Urusi? Wanaotaka kwenda Urusi hawakatazwi. Tatizo ni ardhi ya Ukraine kwenda Urusi. Ndipo Mvutano ulipo sio watu kuitaka Urusi. Ukraine walikuwa wapole sababu hawakuwa na nguvu ila sasa nguvu ipo na Crimea inarudi. Anayetaka Urusi aende Urusi apewe uraia sio Urithi wa watoto wetu uende Urusi
Australia na new Zealand asilimia 70 ni waingereza na wako huru .acha kutuletea hoja za ajabuHivi umeketi ukajiuliza wakaazi wa Crimea wanatakaje? Wenyewe walipiga kura kwa 2014 2014 referendum wakaamua kujitenga. Kama unavyona kwenye ramani, wakaazi wa Crimea na magharibi mwa Ukraine wote ni ethnic Russians, na wamekuwa wakinyanyaswa na ethnic Ukranians.
View attachment 2332832
Wananchi wa Crimea wametaka kujitenga wenyewe na Ukraine!Mnaonaje ipigwe kura chini ya usimamizi wa UN Ili basi demokrasia itamalaki?Kwenye hili huwezi kusikia west akiunga mkono,njoo Sasa Kwa Taiwan ndio utaona unafiki wa US!Kwa maneno mengine ni kwamba Mtu aliyeikalia kimabavu Crimea, ambaye si mwingine bali ni Mrusi, anatakiwa aondoke chap mara moja kwani anavunja Sheria za Kimataifa.
Kwa hiyo Ukraine inapigania Haki yake kwa ardhi iliyoporwa na Mrusi.
Kwa mantiki hiyo Mataifa yote yanayopenda Haki wanatakiwa wasimame kidete dhidi ya Mrusi. Na hiki ndicho US/NATO pamoja na mataifa yanayo support Ukraine wanachokifanya.
Haya wale pro-Russia njooni hapa mtoe povu dhidi ya Rais wa Uturuki.
Sasa yeye anakuambia hali ilivyokuwa Crimea,wewe unakuja na jibu kama Hilo!Jipige kwenzi akili ikurudiAustralia na new Zealand asilimia 70 ni waingereza na wako huru .acha kutuletea hoja za ajabu
Vipi kuhusu Taiwan?Yenyewe sio territory ya China?You made a point, It is not people's wish but Crimea is ukrainian teŕritorial
Taiwan haijawahi kuwa territory ya china ..miaka yote..... Taiwan ni kisiwa kilichokuwa chini ya wajapani..Hadi mwaka 1949 wachina walioshindwa vita na mao Zedong walikimbilia huko na kuanzisha utawala waoVipi kuhusu Taiwan?Yenyewe sio territory ya China?
Your mentally retarded.Wananchi wa Crimea wametaka kujitenga wenyewe na Ukraine!Mnaonaje ipigwe kura chini ya usimamizi wa UN Ili basi demokrasia itamalaki?Kwenye hili huwezi kusikia west akiunga mkono,njoo Sasa Kwa Taiwan ndio utaona unafiki wa US!
Nakuhakikishia,kama Crimea ingekuwa sehemu ya Russia halafu ikakombolewa na kujitenga na wananchi wa Crimea wakataka kujiunga Russia basi US na Misukule wake wangekuwa upande wa Crimea na Ukraine!
Nimeona kuna wengi humu wenye akili butu. Hizi ndio voting patterns za last elections za Ukraine. Kama nchi yenu haina shida na ethnicity well and good. Lakini maeneo mengine ethnicity ndio kila kitu,especially the Balkans and former soviet countries. Kusema mambo ya ethnicity yamepitwa na wakati ni kuwa unrelistic na pia mjinga. Unakua kuwa Ukraine imekuwa ikiwapiga wakaazi wa Donetsk kwa miaka nane sasa? Huwezi wanyanyasa watu, upige marufuku lugha yao, uwanyeshee mabomu alafu utake wakupende. Hawa ethinic Russians wameteswa sana na ethnic Ukranians.Mkuu; Labda nikuulize hivi: Nani aliwawezesha au ni Nani alikuwa nyuma ya hayo matokeo? Hapakuwepo na shinikizo?
Je, hiyo kura ilikuwa kura Huru? Suala la Ethnicity ni hoja ya kizamani sana iliyopitwa na wakati. Watu wako huru kuishi popote alimradi tu wafuate Taratibu za nchi husika. Yaani tukishabikia ukabila... daah! e.g. Mmasai wa Kenya aseme ni Mtanzania kwa sababu Wamasai wapo Tanzania?. Kuongea Ki-Russia au kuwa na mila na desturi za Ki-russia haihalalishi au hakumfanyi mtu awe Mrusi. Hivo ni vitu mtu aweza kujifunza. Lakini Sheria inabainisha mipaka, wapi ni mwanzo wa Nchi na mwisho n.k. na inatambulika kiMataifa.
Unyonge na kunyanyaswa kunategemea mental perception ya Mtu. Wapo watu wanapenda upendeleo wa hapa na pale. Asipopata anadai kunyanyaswa. e.g. Mtu huna vigezo say kitaaluma lakini unataka uajiriwe kama Mtaalam. Ukikataliwa unazua hoja ya upendeleo na kunyanyaswa.