Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi ndo Vifaru vya Urusi aina ya T-72b hapa ni wakati tunaukomboa mji wa Sloboda karibu na Chernihiv 31 Machi 2022. Vinawaka kama mabua
Your browser is not able to display this video.
 
Vifaru vya Urusi aina ya BMP-2 na T-72B3/Obr 1989 of Mkoani Kyiv
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Nawasaidia wale wasiojua kutofautisha Vifaru
 
Tarehe 31 Machi 2022: Hapa kuna Vifaru aina ya T-72B na T-72B Obr. 1989 tanks, gari aina ya Iveco LMV "Rys" na Vityaz DT-30, Vifaru aina ya ZU-23-4 "Shilka" SPAAG, T-72 variant, gari aina ya Comms truck(CT) nk Vikiwa vimetekwa vingine kuharibiwa na kuna Vingine Urusi walitelekeza. Urusi wamepoteza pakubwa.
 
Wenzetu walikuwa ambushi. Bomu likasambaratisha gari. Ila waloharibu gari hawakubaki salama
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Warusi wamevurugwa. Wamekuwa kama Mbogo. Hawa wameenda kwenye zizi la Mtu na kuua ng'ombe wote🤣🤣. Huu mchezo hautaki hasira. Hapa ni Kherkyiv
 
Leo 01 April 2022, tumekomboa mji mdogo wa Velyka Dymerka uliombo Mkoani Kyiv.
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wanaondoka kwenye kinu cha nyuklia cha Chernobyl.

Hiki kinu walikichukua kwa mbwembwe kumbe hawajui kudhibiti mionzi. Wameamua kuondoka na kuwarudishia Waukraine. Inadaiwa Wanajeshi wengi waliokuwa wanalinda hiki kinu Mionzi imewaathiri. Huu mtego hawakuuona mapema. Ukraine walijifanya kukimbia kumbe wameweka mtego. Leo Urusi wanapiga simu njoo mchukue kinu chenu🤣🤣🤣. Unaingia kwenye nyumba ya mtu kichwa kichwa.
 
Figaniga hivi kumbe jeshi la Chechens linawasaidia Ukrein mimi nilizani wapo upande wa Russia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi la Komando Adam Osmayev, anayeongoza Batalioni ya Dzhokhar Dudayev anaisaidia Ukraine. Mwingine ni Komando Sheikh Mansur Battalion au Muslim Cheberloevsky na kikundi cha Kitatar hawa wanasaidia Ukraine. Yaani wanaipiga Urusi( Tunawaita Askari wa kujitolea)

Halafu kuna hawa Chechen wanaoongozwa na Kiongozi wa Chechnya Ramzan Kadyrov, ambaye wanadai ni dikteta na Kibaraka wa President Vladimir Putin, yeye na watu wake Wanamsaidia Putin

Ili kuwatofautisha wakiwa Vitani, Wale wanaosaidia Ukraine wanavaa Rebo ya njano au Bluu. Na wale wanaosaidia Urusi wanavaa rebo Nyeupe au Nyekundi au Nyeusi
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lingine Tena mkuu ni kwa nini Hawa Chechens wanapenda Sana vita Yani ni kama vita kwao ni jambo ambalo wanalifutahia Sana.Na ni kwa nini hawa jamaa ni waisalamu wakati najua hiyo nchi ilikuwaga kwenye shilikisho la kisovieti hivo basi nilitegemea wangekua waothodox kama walivo Warusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…