figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #501
Soja wa Ukraine kapata mchumba😍😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...Tarehe 31 Machi 2022, ni siku ambayo Urusi hawataisahau.
View attachment 2170386View attachment 2170387View attachment 2170388View attachment 2170389View attachment 2170390View attachment 2170392View attachment 2170393View attachment 2170394View attachment 2170395View attachment 2170396View attachment 2170397View attachment 2170398View attachment 2170399View attachment 2170400
Figaniga hivi kumbe jeshi la Chechens linawasaidia Ukrein mimi nilizani wapo upande wa RussiaWanajeshi wa kujitolea wa Chechen wakisaisia kuilinda Ukraine hapa ni karibu na mji wa Kyiv.. Wanajeshi wa Urusi wamekimbia mbio wakaacha Viatu
View attachment 2170058
Kundi la Komando Adam Osmayev, anayeongoza Batalioni ya Dzhokhar Dudayev anaisaidia Ukraine. Mwingine ni Komando Sheikh Mansur Battalion au Muslim Cheberloevsky na kikundi cha Kitatar hawa wanasaidia Ukraine. Yaani wanaipiga Urusi( Tunawaita Askari wa kujitolea)Figaniga hivi kumbe jeshi la Chechens linawasaidia Ukrein mimi nilizani wapo upande wa Russia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.Kundi la Komando Adam Osmayev, anayeongoza Batalioni ya Dzhokhar Dudayev anaisaidia Ukraine. Mwingine ni Komando Sheikh Mansur Battalion au Muslim Cheberloevsky na kikundi cha Kitatar hawa wanasaidia Ukraine. Yaani wanaipiga Urusi( Tunawaita Askari wa kujitolea)
Halafu kuna hawa Chechen wanaoongozwa na Kiongozi wa Chechnya Ramzan Kadyrov, ambaye wanadai ni dikteta na Kibaraka wa President Vladimir Putin, yeye na watu wake Wanamsaidia Putin
Ili kuwatofautisha wakiwa Vitani, Wale wanaosaidia Ukraine wanavaa Rebo ya njano au Bluu. Na wale wanaosaidia Urusi wanavaa rebo Nyeupe au Nyekundi au Nyeusi
View attachment 2171820View attachment 2171821
Swali lingine Tena mkuu ni kwa nini Hawa Chechens wanapenda Sana vita Yani ni kama vita kwao ni jambo ambalo wanalifutahia Sana.Na ni kwa nini hawa jamaa ni waisalamu wakati najua hiyo nchi ilikuwaga kwenye shilikisho la kisovieti hivo basi nilitegemea wangekua waothodox kama walivo Warusi.Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.
Sent using Jamii Forums mobile app