figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,501
Ama kweli; shughuli ilikuwa ni pevu.Utadhani ni movie kumbe ni kitu halisi.Dah! Vita sio kitu cha kutamani hata cku moja. Ukraine ni ngangari kweli-kweli. Hongera sana.Nimepata Video nzuri Uwanja wa Vita. Urusi walikuwa wanapambana na Ukriane Umbali wa Hatua Ishirini. Walio chini ya Daraja ni Ukraine, walio juu ya Daraja hapo kwenye michanga ni Warusi. Urusi wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Picha imechukuliwa na drone
View attachment 2342955
Aisee! Shukrani sana Mkuu. Hii clip nimeiangalia sijui zaidi ya x 5 lakini bado sitosheki na ninachokiona hapo esp. Wanajeshi Waukraine 3 hapo kushoto darajani walivyokuwa wanarusha Hand grenades(Cjui kama ndo hizo) na Warusi wakajibu lakini majibu yao hayakufua dafu na ikabidi watimue mbio kama kawaida yao. Sikuona mizoga lakini naamini itakuwepo tu - kwa nini watimue mbio? Yaani we acha tu, Ukraine ni Moto wa kuotea mbali. Pongezi Ukraine. Shikilia hapo-hapo: PELEKA MOTOOOOoooo tena kwa Sanaa.Nimepata Video nzuri Uwanja wa Vita. Urusi walikuwa wanapambana na Ukriane Umbali wa Hatua Ishirini. Walio chini ya Daraja ni Ukraine, walio juu ya Daraja hapo kwenye michanga ni Warusi. Urusi wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Picha imechukuliwa na drone
View attachment 2342955
Nimekubali wanajeshi wa Ukraine [emoji1255] are the bestNimepata Video nzuri Uwanja wa Vita. Urusi walikuwa wanapambana na Ukriane Umbali wa Hatua Ishirini. Walio chini ya Daraja ni Ukraine, walio juu ya Daraja hapo kwenye michanga ni Warusi. Urusi wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Picha imechukuliwa na drone
View attachment 2342955
Hahahaaa. Mrusi ndani ya kichwa chake kumejaa aina fulani ya kitu kama tope liitwalo ubongo. Hakuna akili kabisa hata ile ya kujiongeza haipo. Anadhani anapigana na Mrusi mwenzake.Urusi walitega mtego, bila kujua juu kuna drone. Wamekukufa wote..
View attachment 2344198
Kitu kikipotea si kinatafutwa?? Mbona hawajishughulishi kuwatafuta hao Warusi wanaodaiwa kuwa wamepotea Ukraine?. Lakini kuna ka-ukweli fulani kwamba wamepotea yaani wameoza kabisa na wameshakuwa ni mbolea iliyochanganyika na udongo huko Ukraine tayari kustawisha mazao - huwezi kuwapata tena kamwe.Hakuna Mrusi anayepotea Ukraine. Anakuwa amekufa
View attachment 2344193View attachment 2344194View attachment 2344195