let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Dah. Mi na jaribu kujiweka katika hiyo situation najiona ni mtu nisieweza nyenyua hata kichwa.Hapana mkuu; Hiyo ni kitu Real na huwa inatokea - kama umewahi kupita jeshini na ukashiriki mafunzo ya medani. Kumbuka yupo askari anayetoa mapigo(Risasi) kumlinda huyo aliyetoka nje ya kizuizi/kilindo hadi alipodash chini naye kujilinda na adui. Zaidi kuna kitu kama kupandisha mzuka fulani hivi i.e. hakuna kuogopa ila kuthubutu kunakuwa kwa kiwango cha hali ya juu.
Mkuu amini Hakuna watu wapiganaji wanaozalishwa maabara. HAIJAWAHI KUTOKEA NA HAITOKAA ITOKEE. Tusubiri labda wanasayansi watakuja na watasema neno hapa.
Kwenye Vita Uongo/Propaganda/Vitisho n.k. ni kitu cha kawaida sana ili kumtia HOFU adui. Adui mwoga ni adui aliyeshindwa tayari.
Watu/Wapiganaji wanaweza kupata mafunzo na mazoezi maalum na kwa muda mrefu e.g. Makomandoo hadi kuweza kufanya kama ulivyoona -japokuwa cjui kama hao walikuwa ni makomandoo au vinginevyo.
Yaan.. Clip hiyo ni kama unaangalia movie ya extraction😂😂.