Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapana mkuu; Hiyo ni kitu Real na huwa inatokea - kama umewahi kupita jeshini na ukashiriki mafunzo ya medani. Kumbuka yupo askari anayetoa mapigo(Risasi) kumlinda huyo aliyetoka nje ya kizuizi/kilindo hadi alipodash chini naye kujilinda na adui. Zaidi kuna kitu kama kupandisha mzuka fulani hivi i.e. hakuna kuogopa ila kuthubutu kunakuwa kwa kiwango cha hali ya juu.
Mkuu amini Hakuna watu wapiganaji wanaozalishwa maabara. HAIJAWAHI KUTOKEA NA HAITOKAA ITOKEE. Tusubiri labda wanasayansi watakuja na watasema neno hapa.
Kwenye Vita Uongo/Propaganda/Vitisho n.k. ni kitu cha kawaida sana ili kumtia HOFU adui. Adui mwoga ni adui aliyeshindwa tayari.
Watu/Wapiganaji wanaweza kupata mafunzo na mazoezi maalum na kwa muda mrefu e.g. Makomandoo hadi kuweza kufanya kama ulivyoona -japokuwa cjui kama hao walikuwa ni makomandoo au vinginevyo.
Dah. Mi na jaribu kujiweka katika hiyo situation najiona ni mtu nisieweza nyenyua hata kichwa.
Yaan.. Clip hiyo ni kama unaangalia movie ya extraction😂😂.
 
1663848190854.png

A Russian female commander who boasted about how she enjoyed killing Ukrainians and whose troops fired on civilians in the Donbas region has been killed in a missile strike.

Lieutenant Colonel Olga 'Kursa' Kachura, 52, was killed instantly after a Ukrainian missile hit her car as she was driving in the city of Horlivka, in the Donetsk region of Ukraine.
 
Hivi karibuni waziri(sikumbumbuki vizuri) ndani ya serikali ya Urusi alisema Marekani anaendasha maabara ya kuzalisha wapiganani ndani ya Ukrein.
Ni habari iliyokaa ki conspiracy fulan hivi ila nilichokiona kwenye hii clip uenda kwa mbali kukubaliana na hiyo conspiracy.
Si ujasili wa kawaida kukabiliana na Adui umbali wa mita 20 then unachomoka kutoka kwenye ukuta unaokukinga dhidi ya risasi na mabomu ya adui na kwenda kumshambulia.
Yaan jamaa katoka chini ya Daraja na kufuata maadui huku risasi zinapigwa kila sehemu.
Uenda si binadamu halisi, ndiyo maana askari wa Urusi wametimua mbio.
Ukikaa vitani , kuna kuizoea, unazoea milio ya risasi mabomu etc
Yaani mwili unaadapt kabisa
 
Habari njema hizi,imekuaje wakaachiwa maana Putin si alikomaa nao?
Imebidi alazimike kuwaachia kwasababu kuna watu muhimu na yeye alikuwa anashinikizwa.
mfano huyu hapa:
1663850690502.png

Lieutenant General Andrei Sychevoi among a group of Russian troops handcuffed on their knees. Another social media user said they were near Balakliya, in the Kharkiv region. Apparently Sychevoi was one of the few who did not flee.
 
Imebidi alazimike kuwaachia kwasababu kuna watu muhimu na yeye alikuwa anashinikizwa.
mfano huyu hapa:
View attachment 2364750
Lieutenant General Andrei Sychevoi among a group of Russian troops handcuffed on their knees. Another social media user said they were near Balakliya, in the Kharkiv region. Apparently Sychevoi was one of the few who did not flee.
OK,asante
 
Back
Top Bottom