Eti laki 9 Lini urusi umetuma wanajeshi laki 9 ...Putin amesema has not even started..hyo ilikuwa trailer tuWanajeshi wa Urusi laki 9 walishindwa kufika Kyiv waje wafike laki 3 ambao hawana mafunzo? Acha kujitoa Ufahamu. Wakiwa wanakufa picha nitakupostia hapa, usiache kugonga like. Wanaingia lini Ukraine? Nataka tuanze kuhesabu pamoja wakiwa wanakufa
Wanajeshi 300000 wanakuja Kyiv kuhitimisha uhai wao hapo kama nia ni kuja kupambana na wapiganaji wa Ukraine.Wanajeshi 300000 wanakuja Kyiv
Kumbe umekuja kubishana? Hunipati ng'o!. Nakupostia picha tu. Russia ina mameja wangipi? Hadi sasa zaidi ya maofisa 317 wa Urusi wamekufa Ukraine hapa Frontline yenu sijataja.. Ikiwemo Mameja. Pambana na hali yenu. Sikujibu tenaEti laki 9 Lini urusi umetuma wanajeshi laki 9 ...Putin amesema has not even started..hyo ilikuwa trailer tu
Kama kondoo wanaopelekwa machinjioni- huwa hawatambui hilo.Wanajeshi laki 3 ambao Urusi wanaleta Ukraine ndo hawa. Mnatuletea walevi? Kudadeki. Karibu sana. Eti mnawavutisha bangi. Wape hadi Unga
View attachment 2364997
Hizi attachement ukitaka kuzifungua unafunguajee??Frontline upande wa Dnipro River mkoani Kherson
View attachment 2363125
Hawa wanaenda kufa sababu hawana mafunzo ya kutosha kama wa mwanzo ni suala la muda tu. Putin wakati mwingine sielewi huwa anawaza niniWanajeshi laki 3 ambao Urusi wanaleta Ukraine ndo hawa. Mnatuletea walevi? Kudadeki. Karibu sana. Eti mnawavutisha bangi. Wape hadi Unga
View attachment 2364997
Shida unatumia app mkuu. Tumia browser utafungua.Hizi attachement ukitaka kuzifungua unafunguajee??
Kwangu zinagoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzao waliokuwa na majigambo kama wao katika maeneo mengine, sasa hawapo tena.Hawa jamaa ni makomando wapo Energodar Zaporizhzhia karibu na mto Dnieper. Wametuma picha yao, hii sehemu ipo chini ya Urusi tangu April. Wana chakula silaha na malazi kama kawa. Wanajiamini sana
View attachment 2364944
Ni hivyo tu hakuna namna nyingine ya kumwelewesha. Jamaa hasikii, wala haoni na hataki ukweli ameshupalia ubishi usio na maana.Kumbe umekuja kubishana? Hunipati ng'o!. Nakupostia picha tu. Russia ina mameja wangipi? Hadi sasa zaidi ya maofisa 317 wa Urusi wamekufa Ukraine hapa Frontline yenu sijataja.. Ikiwemo Mameja. Pambana na hali yenu. Sikujibu tena
Mikdde?? Njoo huku ukabishe kwamba hawa hapa pichani sio Warussi na utuambie ni akina nani?Warusi wamepotezwa kama kumbikumbi
View attachment 2365038View attachment 2365039View attachment 2365040View attachment 2365041
Tuna uhaba sana wa mbolea kwa ajili ya alizeti, acha waje.Wanajeshi laki 3 ambao Urusi wanaleta Ukraine ndo hawa. Mnatuletea walevi? Kudadeki. Karibu sana. Eti mnawavutisha bangi. Wape hadi Unga
View attachment 2364997
Mpaka wamalize mafunzo vita itakuwa imeisha. Ukraine imejipanga by December ikomboe mikoa yote.Waliokuwa Mobilized wamepelewa Khurba Mkoani Khabarovsk ( 6071 km ) Mashariki mwa Moscow. Hadi wafundishwe, kufika Ukraine sio leo
Hapa ni uwanja wa Ndege wa Khurba Urusi
View attachment 2365028