Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Urusi laki 9 walishindwa kufika Kyiv waje wafike laki 3 ambao hawana mafunzo? Acha kujitoa Ufahamu. Wakiwa wanakufa picha nitakupostia hapa, usiache kugonga like. Wanaingia lini Ukraine? Nataka tuanze kuhesabu pamoja wakiwa wanakufa
Eti laki 9 Lini urusi umetuma wanajeshi laki 9 ...Putin amesema has not even started..hyo ilikuwa trailer tu
 
Eti laki 9 Lini urusi umetuma wanajeshi laki 9 ...Putin amesema has not even started..hyo ilikuwa trailer tu
Kumbe umekuja kubishana? Hunipati ng'o!. Nakupostia picha tu. Russia ina mameja wangipi? Hadi sasa zaidi ya maofisa 317 wa Urusi wamekufa Ukraine hapa Frontline yenu sijataja.. Ikiwemo Mameja. Pambana na hali yenu. Sikujibu tena
 
Wanajeshi laki 3 ambao Urusi wanaleta Ukraine ndo hawa. Mnatuletea walevi? Kudadeki. Karibu sana. Eti mnawavutisha bangi. Wape hadi Unga
View attachment 2364997
Kama kondoo wanaopelekwa machinjioni- huwa hawatambui hilo.
Wapambanaji wa Ukraine wapokeeni jamaa hao kwa kuwaandalia mahali pema watakopogeuka kuwa mbolea.
 
The mobilized🤣🤣🤣
IMG_20220922_204426_075.jpg
 
Waliokuwa Mobilized wamepelewa Khurba Mkoani Khabarovsk ( 6071 km ) Mashariki mwa Moscow. Hadi wafundishwe, kufika Ukraine sio leo

Hapa ni uwanja wa Ndege wa Khurba Urusi
 
Kumbe umekuja kubishana? Hunipati ng'o!. Nakupostia picha tu. Russia ina mameja wangipi? Hadi sasa zaidi ya maofisa 317 wa Urusi wamekufa Ukraine hapa Frontline yenu sijataja.. Ikiwemo Mameja. Pambana na hali yenu. Sikujibu tena
Ni hivyo tu hakuna namna nyingine ya kumwelewesha. Jamaa hasikii, wala haoni na hataki ukweli ameshupalia ubishi usio na maana.
 
[picha zinatisha. Nisijeua pro Urusi kwa Presha🤣] Avoz wanakuambia ili ufanye nao kazi, unatakiwa ukiangalia picha hizi usisikitike wala kuona huruma. Bali furahia
 
Back
Top Bottom