Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mmh! Inaonekana hata ukuruta hawajaanza.Ndo maana wanabishana na Afande. Je; wakija Ukraine si ndo watauliza "tunasongaje mbele aisee wakati hatujanywa chai, jioni tutalala wapi na baridi yote hii?" Putin ameamua kukimaliza kizazi cha waRussi wenzake kwa mtindo huu.
 
Kinachowaponza Warusi ni kujiamini sana na dharau. Eti watu wapo Frontline hawajavaa bullet proof helmet wala ballistic vest. Ukraine inajiokotea Mrusi mmoja mmoja. Wataisha tu
Your browser is not able to display this video.
 
Hii silaha hata vita vya pili vya Dunia ilikuwa Kama manati Dunia ya Sasa yenye drones unaleta Semi automatic gun.

Mobilised wako local kuliko wanamgambo wa M23.
Hata mimi nimeishangaa hiyo silaha. Ina maana ana uhaba wa silaha kiasi hicho mpaka atumie ya namna hii [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hata mimi nimeishangaa hiyo silaha. Ina maana ana uhaba wa silaha kiasi hicho mpaka atumie ya namna hii [emoji848][emoji848][emoji848]
Broo, Walikuwanazo silaha nzuri tuu; ila wenzao Si walizitelekeza porini pale walipokimbia hata bila viatu? Dah! Bado kidogo tutasikia wamegawiwa rungu, panga na mikuki na kuambiwa "Haya songa mbele" utadhani wanaenda kupambana na panya rodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…