figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,281
Mwanajeshi wa Urusi akiwa amemsimamia Mkazi wa Ukraine wakati anajaza referendum. Wasiogope, tutawakomboa sababu kwa sasa wapo kama mateka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh! Inaonekana hata ukuruta hawajaanza.Ndo maana wanabishana na Afande. Je; wakija Ukraine si ndo watauliza "tunasongaje mbele aisee wakati hatujanywa chai, jioni tutalala wapi na baridi yote hii?" Putin ameamua kukimaliza kizazi cha waRussi wenzake kwa mtindo huu.Mobilized🤣🤣🤣
View attachment 2365851
Huo ndo UBEBERU katika ubora wake. Faragha(Privacy) katika upigaji kura unanyimwa au unanyang'anywa.Mwanajeshi wa Urusi akiwa amemsimamia Mkazi wa Ukraine wakati anajaza referendum. Wasiogope, tutawakomboa sababu kwa sasa wapo kama mateka
View attachment 2365932
Hahahaaa!! Bora panya rodiWanajeshi laki 3 ambao Urusi wanaleta Ukraine ndo hawa. Mnatuletea walevi? Kudadeki. Karibu sana. Eti mnawavutisha bangi. Wape hadi Unga
View attachment 2364997
Kuna nyingine huku Odessa.
Hata mimi nimeishangaa hiyo silaha. Ina maana ana uhaba wa silaha kiasi hicho mpaka atumie ya namna hii [emoji848][emoji848][emoji848]Hii silaha hata vita vya pili vya Dunia ilikuwa Kama manati Dunia ya Sasa yenye drones unaleta Semi automatic gun.
Mobilised wako local kuliko wanamgambo wa M23.
Broo, Walikuwanazo silaha nzuri tuu; ila wenzao Si walizitelekeza porini pale walipokimbia hata bila viatu? Dah! Bado kidogo tutasikia wamegawiwa rungu, panga na mikuki na kuambiwa "Haya songa mbele" utadhani wanaenda kupambana na panya rodi.Hata mimi nimeishangaa hiyo silaha. Ina maana ana uhaba wa silaha kiasi hicho mpaka atumie ya namna hii [emoji848][emoji848][emoji848]