Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Na wengi watafanya hivyo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yaani EU ikitoa ofa ya kuwapa hifadhi ya ukimbizi askari wa Urusi, watakimbia wengi
Wengi wameshafanya uharifu sana, EU hawawezi kubali hilo swala, ni sawa unamkaribisha adui kitandani.

Ukraine yatakiwa iwakubali afu iwape silaha wapambane dhidi ya urusi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kapeleka kufanyia majaribia drone za Iran

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nukes hataweza itumia

Ila anaweza teketeza wote walio kherson

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakiomba Afrika, wanaweza kupata vijana wengi wenye nia ya kupigana kwa kujiunga na jeshi lao
 
Mkuu, Kwa hali ilivyo kwa sasa, kunaweza kukatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe Warussi i.e. wale wanaomwunga mkono Putin na wale wanaoupinga uongozi wake.
Wale wanaomwunga mkono Putin ambao jeshi la nchi litakuwa upande wao, jeshi hilo tayari limeshadhoofishwa na hii vita inayoendelea na hata baadhi yao watajiunga upande wa wale wanaompinga. Wale wanaompinga watapata support (indirectly) kutoka Ukraine na directly kutoka kwa mataifa yanayoisupport Ukraine kwa sasa e.g. US/NATO.
Hao wanaompinga watamlazimisha aanze kukimbia-kimbia kama Idi Amin au Osama bin Laden au kuishi mafichoni kama Saddam Hussein na Muammar Gaddafi yaani hatopata tena muda wa kuzifikia hizo Nuklia zake atakuwa anaishi kifungo cha ndani bila kujijua.
 
Angalia Mrusi anavyotia huruma. Ukimuachia hapa akipewa bunduki anakufyatua. Frontline hutakiwi kuwa na huruma. Ni kosa sababu huruma zako zinaweza sababisha kikosi chote kikateketezwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…