Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kikundi Chechen kinachoongozwa na Kadirov jackals, Walikutana na sniper wa Ukraine mmoja tu. Wakashindwa kwenda mbele wala nyuma. Ukinyanyua mguu risasi.🤣🤣🤣 Sniper acha waogopwe. Hapa ni Mariupol.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna watu Wanazusha eti Mtanzania anayepigana Vita Ukraine kauawa. Ukweli ni David yupo hai. Mtanzania aliyeuawa sio David. Jina la aliyekufa nitalitaja muda ukifika. Nipo upande wa David coz ni Mbongo.. Yote sababu ya kutafuta maisha tu. Huyu hapa David
Your browser is not able to display this video.
 
URUSI WAMESHINDWA VITA UKRAINE. WANAONDOKA UKRAINE BILA KUKANYAGA MJI WA KYIV WALIOSEMA WATAUKAMATA NDANI YA SIKU 3.

MIJI MUHIMU ISHARUDI MIKONONI MWA UKRAINE. BADO MARIUPOL NA ODESSA. NGUVU ZA UKRAINE ZINAELEKEZWA HUKO. BAADAYE TUKUTANE HAPA.
 
Huyu Mrusi alikuwa anapiga kinanda au?[emoji28]
Wote wanne walifia hapo hapo. Vitani kuna watu wa kuentertain baada ya mapambano ya mchana kutwa. Ndo maana hata tanzania kila Kambi ina Band ya Muziki. Wakina Komba walikuwa ni Waburudishaji Jeshini
 
Wote wanne walifia hapo hapo. Vitani kuna watu wa kuentertain baada ya mapambano ya mchana kutwa. Ndo maana hata tanzania kila Kambi ina Band ya Muziki. Wakina Komba walikuwa ni Waburudishaji Jeshini
Ok,asante
 
Ndege ya Urusi aina ya "SU-35" #Izyum, Kharkiv imedondoshwa na rubani kakamatwa. Huyu rubani apikwe risasi au achinjwe?
 
Wakati ndege inadondoshwa
Your browser is not able to display this video.
 
Serious Russian losses Vifaru viwili aina ya T-72B3 na viwili aina ya BTR-82A

TOS-1A ya Urusi ikiwa mikononi mwa Ukraine.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hii Kozak-2 IMVs ya Ukraine ilitekwa na Urusi mwezi uloisha. Leo umerudi
 
Urusi wanakimbizwa Mpelampela. Leo ikabidi watelekeze Vifaru kwenye mto baada ya kupata shida kuvuka. Hapa ni Irpin. Vifaru ni aina ya 3x BMD-2 na 9S932-2 intelligence and control vehicle (Part of the Barnaul-T AD system)
 
T-72B3 cha Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • twitter_20220403_201159.mp4
    1.6 MB
BRT-92A wamekitelekeza wakati wakiikimbia Kyiv
Your browser is not able to display this video.
 
Chechen wanaoipigania Ukraine waki a wameteka R-149MA1 command and staff vehicle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…