figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,501
Very Good move for delivering the message to Putin. Hongera GeorgianHivi ndivyo marafiki zetu wa Georgia wanavyokutana na wakimbizi wa Putin Wanaoikimbia Urusi kukwepa kupelekwa Ukraine. Wananchi Georgia hawawataki Warusi wakimbilie kwao
💬"Umemchagua Putin kwa miaka 20, umeidhinisha vita na Ukraine, Georgia, Syria na wengineo, na kwa muda wa miezi 7 unafurahia mauaji ya halaiki na mauaji ya watu wengi wa Ukraine. Sasa ishi nchi mwako ". Wanasema kwa mabango na Warusi wanayasoma.
View attachment 2371313View attachment 2371314View attachment 2371315
Safiii sana..
Naam; Imeandikwa "Mwanadamu kumbuka wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi"😊😊😊Alikuja kuua watoto wa Ukraine, safari yake ikaishia kwenye tope
View attachment 2371544
Tunawaombea majeruhi wa Ukraine Mungu awafanyie wepesi wapone mapema ili wakaendelee kuitetea haki ya watoto Waukraine.Majeruhi 20 wa Ukraine wamepelekwa kutibiwa Hospital Sheba Medical Center Nchini. Hii ni moja ya Hospitali kubwa duniani.
View attachment 2371551
Baada ya kazi burudani ni muhimu🤣🤣🤣. Wanajeshi wa Ukraine wana umoja sana wana hamasa ya hali ya juu. Angalia amsha amsha
View attachment 2371552
Kumbe upara huwa hauungui moto. 😂😂😂 kaungua kwingine kote kasoro upara.
Naona waliigiza kufa, walijua watawaacha wapite zao wakijua wamekufa. Haba na haba hujaza kibaba. Mdogo mdogo mpaka waishe. Ama wachague warudi kwao.Waliokuja kuua kuua kizazi cha Ukraine sasa wanakufa wao. Nyota 3 wa Urusi kazinduka akiwa mikononi mwa Komandoo wa Ukriane.
View attachment 2371614
Ndani ya wiki hii Lyman itakuwa imekombolewa. Warusi wameng'ang'ania hawataki ku retreat. Jamaa wanawazunguka sijui watatokea wapi. Ikishazibwa escape route ya Kreminna sijui watatokea wapi, labda waingie maporini. Huko ndo watakandamizwa vizuri na Drones. Tutarajie mizoga mingi Lyman ndani ya wiki hii.Ukraine wameukomboa mji wa Seredne karibu na Lyman
View attachment 2371626
Wako kwenye ku record move yao. 😂😂😂Siyo kwamba hajui kubeba silaha. Huyo ndo sterling wao 😂😂Huyu ndo wanataka akapambane na Azov. 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2371627