figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,501
Hivi ndivyo marafiki zetu wa Georgia wanavyokutana na wakimbizi wa Putin Wanaoikimbia Urusi kukwepa kupelekwa Ukraine. Wananchi Georgia hawawataki Warusi wakimbilie kwao
💬"Umemchagua Putin kwa miaka 20, umeidhinisha vita na Ukraine, Georgia, Syria na wengineo, na kwa muda wa miezi 7 unafurahia mauaji ya halaiki na mauaji ya watu wengi wa Ukraine. Sasa ishi nchi mwako ". Wanasema kwa mabango na Warusi wanayasoma.