Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Labda anafikiri uwanja wa vita ni sawa na stage ya ngumi.

mtu hufundishwa jeshi akiwa na umri mdogo na awe anapenda mwenyewe "has a passion and self commitment to serve the military."

Hii ya kulazimisha watu wazima kujiunga jeshi na kùwapeleka kupigana wajiandae kupokea maiti ama kuwa mbolea ya Ukraine. Amebahatika sana ni kuwa mateka au majeruhi. Anavyo prolong vita ndiyo anavyopunguza kizazi chàke. U.S, NATO, EU hawawezi kurudi nyuma kwenye vita hii, watamtia adabu Putin.
 
Mkuu mimi warusi siwaonei huruma acha wasagwe huko front line.

Wakati Putin ana amuru jeshi livamie ukraine mpk Zelensky analia wanamuonea na dunia inamtenga walikuwa wanafurahi sasahivi Ukraine wamepewa silaha hesabu zinaenda vizuri kwake Urusi ndio wanaanza kulia lia huu ni unafiki wa kiwango cha lami.
 
Basi wewe Georgia ni ndugu zako. Wananchi wa Georgia wanawaambia Wakimbizi wa Urusi warusi kwao waende Ukriane Frontline. Kwamba walikuwa wanashangilia vita ilipoanza
 
Azov ipi wewe unayoizungumzia wakati ilishasambaratishwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…