Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wakiwa Chernobyl nuclear power plant
 
Gari la mafuta la Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine Mungu awape nini. Hii vita, imesababisha wapate vifaa vya kijeshi mara mbili ya walivyokuwa navyo. Sasa Ukraine ndo nchi ya kwanza duniani yenye vifaa vingi vya kijeshinkutoka Urusi.

Hiki kifaru ni BMP-2 infantry fighting vehicle with 9P135M GLS & 9M113-series Konkurs anti-tank guided missile. Jana Mkoani hiyoKyiv
Your browser is not able to display this video.
 
Hii si bahati mbaya bali Urusi walipanga. Lazima washitakiwe. Risasi zote hizi kwa mtu anayekimbia mapigano? Urusi wakiamua kuiangamiza Bucha. Bucha watu wengi wamekufa bila sababu
 
Hivi hao wanajeshi wa Urusi hizo kama wamejifunga Mkononi na miguuni ni kwa ajili ya nini?
 
Hapa ni Gostomel ilivyokombolewa. Mungu ni mwema. Hawa Warusi walikuja kwa mbwembwe na fujo. Walorudi ni nusu ya Waliokuja. Sasa hivi ndege inaruka ya Urusi inadondoka. Asante Marekani.
 
Hivi hao wanajeshi wa Urusi hizo kama wamejifunga Mkononi na miguuni ni kwa ajili ya nini?
Ni alama ili wasiuane. Magari wanaweka alama ya V au Z ili wasilipue gari lao. Wanajeshi wanavaa Alama Nyeupe, nyeusi au nyekundu Mguuni au mkononi Huku Ukraine wakiweka alama ya Njano au Bluu.
 
Mwanamke wa Bucha akiwaonesha Wachunguzi mwili wa binti yake aliyeuawa na Warusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni alama ili wasiuane. Magari wanaweka alama ya V au Z ili wasilipue gari lao. Wanajeshi wanajaa Alama Nyeuoe, nyeusi au nyekundu Mguuni au mkononi Huku Ukraine wakiweka alama ya Njano au Bluu.
Ok, asante sana Mkuu. Maana nilikuwa sielewi Kabisaa
 
Si wawaue tu hao marubani mkuu .
Hapana. Kuna watu wa Ukraine wamekamatwa na Urusi. Hivyo hawa wanawekwa mateka ili kubadilishana. Jana tumebadilishana mateka 86 kwa 86. Wanaouliwa ni Sniper. Sababu Sniper ana uwezo wa kuua watu 40 kwa siku. WALI sasa anaua hadi 90 kwa siku. Huyu akikamatwa kuachwa si rahisi. Ila Urusi wamempa wakati Mgumu Putin sababu wameua watu wasio nahatia Bucha na kuwazika kaburi la pamoja kinyume na sheria za Vita
 
Gomel Belarus. Jamaa wanarudisha Vifaru Urusi visitekwe.
 
04 April 2022: hapa ni Mkoani Kharkiv
Kifaru aina ya 2x 9T244 loaders, na 9A331 TLAR (for the 9K331 Tor-M1 SAM system) cya Urusi, sasa vipo Mkononi mwa Ukraine
 
Medevac na Magari ya Mizigo. Twende kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…