figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #621
Ukraine wakiwa Chernobyl nuclear power plant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni alama ili wasiuane. Magari wanaweka alama ya V au Z ili wasilipue gari lao. Wanajeshi wanavaa Alama Nyeupe, nyeusi au nyekundu Mguuni au mkononi Huku Ukraine wakiweka alama ya Njano au Bluu.Hivi hao wanajeshi wa Urusi hizo kama wamejifunga Mkononi na miguuni ni kwa ajili ya nini?
Ok, asante sana Mkuu. Maana nilikuwa sielewi KabisaaNi alama ili wasiuane. Magari wanaweka alama ya V au Z ili wasilipue gari lao. Wanajeshi wanajaa Alama Nyeuoe, nyeusi au nyekundu Mguuni au mkononi Huku Ukraine wakiweka alama ya Njano au Bluu.
Si wawaue tu hao marubani mkuu .Tarehe 05 Machi jeshi la Ukraine lilifanya kazi kubwa.. Ndege kadhaa ziliangusha na Marubani 6 walikamatwa
View attachment 2158296
Hapana. Kuna watu wa Ukraine wamekamatwa na Urusi. Hivyo hawa wanawekwa mateka ili kubadilishana. Jana tumebadilishana mateka 86 kwa 86. Wanaouliwa ni Sniper. Sababu Sniper ana uwezo wa kuua watu 40 kwa siku. WALI sasa anaua hadi 90 kwa siku. Huyu akikamatwa kuachwa si rahisi. Ila Urusi wamempa wakati Mgumu Putin sababu wameua watu wasio nahatia Bucha na kuwazika kaburi la pamoja kinyume na sheria za VitaSi wawaue tu hao marubani mkuu .
Hizi atakuwa kapewa msaada na mchina tuNchi ya pili kwa vifaa vya kijeshi inatumia Guta. Walete zile trophy tigr zitekwe🤣🤣View attachment 2161088