Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Na viongozi ambao Putin aliwekeana Saini nao ili hayo maeneo yajiunge na urusi hawajachaguliwa na watu Bali wamewekwa na Urusi.
 
Ngoja tuone hadi kesho jioni. Kwa nguvu iliyoongezwa, Kreminna inaweza kombolewa mapema. Warusi wameshalegea Donetsk.
 
Kinacho waponza Urusi ni kiburi. Wanaambiwa wajisalimishe wanajidai kukimbia. Frontline ya Ukraine ikisema jisalimishe wanakuwa na uhakika wa kuwazunguka na kuwazidi nguvu. Hawa wamegoma kujisalimisha wakajifanya kukimbia hawakufika mbali.

Ushauri: Mtu mwenye mtutu akikupa nafasi ya kujisalimisha fanya hivyo. Ona sasa
Your browser is not able to display this video.
 
Hii mbinu tangu waanze offensive mission imekuwa ikitumika sana. Himars kazi yake ndio hiyo jamaa wako very strategic.

Aidha wanaripua depot za silaha au wana kata supply route kwa kuripua madaraja matokeo yake urusi wanakosa supply wana achia maeneo tu.
 
Tembeza risasi tu hawa mbwa hakuna haja hata ya kuwatangazia surrender.
 
Special Force wa Frontline ya Ukraine wameshafika Lyman tayari. Waone hivi, hawa ni Makomandoo.

Hope Jumapili ya kesho itakuwa siku ya furaha kwa Ukraine. Kumbuka Lyman imezungukwa tu bado haijakombolewa. Ukraine inatumia akili nyingi kuingia huu mji. Wanahakikisha Warusi hawatoki
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi Wanataka mazungumzo. Wanataka Ukraine iache kushambulia Lyman(To ceasefire) ili kunguza vifo.

Lakini jana Urusi waliambiwa wajisalimishe hawakutii. Walitaka wapetiwe petiwe.
View attachment 2373758
Mhh. Mrussi anataka(Demand) sio anaomba(Request)? Hiyo ni kauli ya kijeuri. Kama anataka mazungumzo basi lazima apewe masharti tena magumu. Laa, kama anaomba basi kwanza sharti ajisalimishe.
Naam. Nimewakubali sana Ukraine. Wanaijua lugha ambayo Mrussi huielewa haraka.
Kiburi kinamwishia Mrussi kwa kasi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…