Maneno tu. Hata umoja wa Mataifa hauruhusu kuingilia mipaka ya nchi kimabavu. Mfano Uganda ije iteke Kagera, ifanye igizo la kupiga kura ishinde iseme Kagera ipo Uganda? Akili matope. Alikosea, Mrusi alitakakiwa awaachie Waukraine wenyewe wapiga kura na wahesabu wenyewe. Sasa kura zimepigwa Urusi, muangalizi Urusi, Msimamizi urusi, mhesabu kura Urusi, mtangaza matokeo Urusi, Mshindi Urusi. Dunia haiwezi kubali. Hata taahira atagundua kama ni uongo huu.
View attachment 2372981
View attachment 2372984
Mbele ya mtutu wa bunduki utakataa kupiga kura. Kumbuka kura zilikuwa za wazi.
Kumbuka wananchi wa hayo maeneo ni mateka wa Urusi. Ukiwa mateka unakuwa na sauti?