Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mafuta kwa ajili ya vifaru vyao yameunguzwa. Reli hiyo haipitiki tena.
 
Kidadeki. Shikamoo Ukraine. Kumbe Kombora linaweza fika Moscow. Kama wameshindwa linda hili daraja na yale mavifaa walipachika darajani sijui S-400 air defense system. Hazijaona kitu🤣🤣🤣 zipo outdated.
Your browser is not able to display this video.
 
Kidadeki. Shikamoo Ukraine. Kumbe Kombora linaweza fika Moscow. Kama wameshindwa linda hili daraja na yale mavifaa walipachika darajani sijui S-400 air defense system. Hazijaona kitu🤣🤣🤣 zipo outdated.
View attachment 2380721
Hicho ndo walikuwa wanakitafuta. Warusi wanadai siyo makombora la Ukraine bali ni bomu limetegwa. Swali la kujiuliza daraja kubwa kiasi kile kwa ulaya nzima halina ulinzi mpaka mtu akatege bomu?
 
Hicho ndo walikuwa wanakitafuta. Warusi wanadai siyo makombora la Ukraine bali ni bomu limetegwa. Swali la kujiuliza daraja kubwa kiasi kile kwa ulaya nzima halina ulinzi mpaka mtu akatege bomu?
Wanajitetea. Hata hivyo plan ilikuwa ni kulilipua, tutege bomu, turushe kombora au nyambizi. Leongo moja kukata mawasiliano na tumefanikiwa. Wataka kutupangia tubomoe kwa kutumia Sururu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…