Mkuu achana tu na Urusi itafanya nini, ila mie mwenyewe kwa vile nilivyowaaminisha watu kuwa week moja ni kibwa tutakuwa tumemzika Zele lakini hadi siku hii ya leo Super power yupo hoi🤣🤣🤣 naogopa kurudi kijiweni kwangu IturikeWakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601
Eti ni magaidi ndo wametega bomu.Sijui Lori mara kuna mtu katega
View attachment 2381097
Hìi ni ndege yao imelipuliwa au ni kombora limetua.Urusi watakoma🤣🤣🤣
View attachment 2381100
Bravo Ukraine [emoji1255]Wakuu, upande mmoja daraja limeshuka. Tuliwaambia
View attachment 2380573
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa Warusi walikuwa wanaishi na nguruwe
View attachment 2380852
Ndioooooo tunawakumbuka mnooo safi sanaHivi mnakumbuka hiki kikosi cha airborne assault brigade? Wao huwa hawaogopi Warusi. Wana Spika zao Frontline, wanawatandika huku wamewawekea Muziki wa nyimbo za kishujaa za wanajeshi wa Ukraine. Sema saa nyingine wanawatega Warusi, Wanaweka Spika juu ya handaki Warusi wanajua wapo hapo kimbe wamehama mapema. Ile wanajifanya kwenda kuwateka Urusi wanatokewa kwa nyuma wanalizwa. Walishazoea, Wana Spika nyingi Frontline.
View attachment 2380996
Kwa hii video utata wote umeisha, na wakibosha tunashusha mengine yamalize kabisa daraja lililobakiSijui Lori mara kuna mtu katega
View attachment 2381097
We are on the blink to nuclear warKwa hii video utata wote umeisha, na wakibosha tunashusha mengine yamalize kabisa daraja lililobaki
Mbona hili daraja lain sana kuliko Yale madaraja ya Kherson yanayopiwa na himars Kila siku na hayapasuki sasa hapa mlipuko wa roli tu
Yale yalitengenezwa na Ukraine, haya yametengenezwa na Urusi.Mbona hili daraja lain sana kuliko Yale madaraja ya Kherson yanayopiwa na himars Kila siku na hayapasuki sasa hapa mlipuko wa roli tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana