Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nadhani nyuki wamefanya yao. Ngoja kidogo. Ee bwana Papushikashi sema neno. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
hao wadudu hawana masihara kabisa
wanakubadilisha sura dakika sifuri [emoji1787][emoji1787]
 
Kadyrovites (Chechen) au TikTok wakiwa Mkoani Kherson wamepelekewa moto balaa. 40 wamekufa na 60 kujeruhiwa... Kuna yule jaa anayewapenda TikTok, naamini hii ni habari mbaya kwake. Maji wanaita mma🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu mwanajeshi wa Ukriane kanifurahisha. Kafanikiwa kudondosha Helkopta ya Urusi aina ya Kamov Ka-52 kwa kutumia MANPADS. Kashangilia balaa. Itakuwa ndo mara yake ya kwanza. Kherson hapo🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…