figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,741
Good morning
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wadudu hawana masihara kabisaNadhani nyuki wamefanya yao. Ngoja kidogo. Ee bwana Papushikashi sema neno. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ni mtazamo tu mzee kama wachambuzi wa mpira wanavyouchambua hata kabla ya mechi kuanza.[emoji41][emoji41]Yaani watu utafikiri mnaishi kwenye Ikulu ya Putin...asee...yaani ni shidah...
Hi, From pro Ukraine - Good Morning comrades.
Nawapenda sana wazee wa HIMARS. Wakiamua -Wameamua.Sikiliza Makombora ya HIMARS yanavyo Unguruma. Hapa ni base ya Urusi huko Kherson. Air Defense ya Urusi imeshindwa kuzuia. HIMARS haizuiliki
View attachment 2397169
Duu! Ni hatari.Hapa ni Bakhmut Mkoani Donetsk. Warusi wanakufa kama sisimizi. Wanajuta kuja Ukraine
View attachment 2397190
These are the last kicks of the dying horse.Angelifanya hivyo wakati akiwa na askari mahiri na Competent; sio kwa sasa wakati amebakiwa na mobilised ambao wamechoka na wamepinda ile mbaya. 😂 😂Naona Warusi wameamua kuipigania Kherson siyo kama walivyokimbia mazima Kharkiv
Hapa ni Bakhmut Mkoani Donetsk. Warusi wanakufa kama sisimizi. Wanajuta kuja Ukraine
View attachment 2397190
Exactly -Yes.This is what they deserve. 👏👏