Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia
 
Sijawahi kuona sehemu yeyote ambayo Russia alitoa timeframe ya SMO yake!
Amiri Jeshi Mkuu unaanzisha vita bila ya kuwa na mipango kuonesha hiyo vita angalau kwa makadirio itachukua muda gani??

Basi kumbe Puttin ni Amiri jeshi Mkuu wa ajabu sana!!
 
Amiri Jeshi Mkuu unaanzisha vita bila ya kuwa na mipango kuonesha hiyo vita angalau kwa makadirio itachukua muda gani??

Basi kumbe Puttin ni Amiri jeshi Mkuu wa ajabu sana!!
Tutajuaje kama anajua au hajui?Hilo only Putin na Timu yake ya usalama ndio wanajua!Maana hawajawahi kutoka hadharani na kusemea Hilo la muda!
 
Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia
Tuletee hizo propaganda hai za kirusi ili tulinganishe na tuamue. Usitupangie kama ambavyo sisi hatukupangii kwenda kupapaswa makalioni.
 
Tuletee hizo propaganda hai za kirusi ili tulinganishe na tuamue. Usitupangie kama ambavyo sisi hatukupangii kwenda kupapaswa makalioni.
Mnachojua ni matusi!Siwezi kushuka level Yako na kuanza kujibizana matusi na wewe!Jioni njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…