OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Good afternoonGood morning
View attachment 2403739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good afternoonGood morning
View attachment 2403739
Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia"..............Ukraine inataka mazungumzo ya jinsi Urusi itaondoka Ukraine na kulipia gharama za Uharibifu......."
Excellent. Hilo ndilo la msingi sana. i.e. Mrusi akubali kuAcha vita, ku Ondoka Ukraine, kuLipia gharama za uharibifu then ndio mazungumzo yafanyike.Hizo ndio conditions for enabling the discussions. Tofauti na hapo, kipondo kikali kiendelee. Apigwe kama ngoma.
Yumkini huyu jamaa amechanganyikiwa mazima. Juzi kati hapo kajaribu kusema eti wakubaliane na Ukraine akae katika mikoa 4 aliyoteka kwa muda wa miaka 7 halafu ndo aondoke. Leo ameenda kulia-lia kwa nchi za Magharibi Wamshawishi Ukraine akubali mazungumzo. Kesho atasema nini?-hatujui. Huyo mpuuzi mpuuzeni.
Russia ikoje? Wakatili sana!!?Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia
Sio watu wa kusurrender!Russia ikoje? Wakatili sana!!?
Kabisa. Warusi wanafanya mambo kama wamesetiwa.Sio watu wa kusurrender!
Alikwambia wapi siku 3?Mwaka unenda isha na alisema siku 3 unataka tuijueje zaidi ndugu yangu. Ka ukraine kenyewe alikavizia na bado kashindwa kukateka kote
Anazushiwa tu. Kwani yeye alisema itachukua siku ngapi?Alikwambia wapi siku 3?
Sijui kama umenielewa!Kabisa. Warusi wanafanya mambo kama wamesetiwa.
Ingekuwa ni marekani, ungeona jinsi maandamano yangetokea.
Wewe unaonaje. Nimekuelewa ama sijakuelewa??Sijui kama umenielewa!
Sijawahi kuona sehemu yeyote ambayo Russia alitoa timeframe ya SMO yake!Anazushiwa tu. Kwani yeye alisema itachukua siku ngapi?
Hujanielewa,Rudi world wa 2 ndio utajua spirit ya Russians!Wewe unaonaje. Nimekuelewa ama sijakuelewa??
Amiri Jeshi Mkuu unaanzisha vita bila ya kuwa na mipango kuonesha hiyo vita angalau kwa makadirio itachukua muda gani??Sijawahi kuona sehemu yeyote ambayo Russia alitoa timeframe ya SMO yake!
Tutajuaje kama anajua au hajui?Hilo only Putin na Timu yake ya usalama ndio wanajua!Maana hawajawahi kutoka hadharani na kusemea Hilo la muda!Amiri Jeshi Mkuu unaanzisha vita bila ya kuwa na mipango kuonesha hiyo vita angalau kwa makadirio itachukua muda gani??
Basi kumbe Puttin ni Amiri jeshi Mkuu wa ajabu sana!!
sawa kabisa. Lakini pia ni Katili sana.Hujanielewa,Rudi world wa 2 ndio utajua spirit ya Russians!
Kumbe hata ikichukua miaka 5 ni sawa tu!!??Tutajuaje kama anajua au hajui?Hilo only Putin na Timu yake ya usalama ndio wanajua!Maana hawajawahi kutoka hadharani na kusemea Hilo la muda!
Ni msimamo na ukatili ni vitu viwili tofauti!sawa kabisa. Lakini pia ni Katili sana.
Lini hiyo tena. Ni habari njema. Maana walisema 2 wataleta.Habari njema
Ukraine will receive 8 NASAMS systems from the USA - Pentagon
Tuletee hizo propaganda hai za kirusi ili tulinganishe na tuamue. Usitupangie kama ambavyo sisi hatukupangii kwenda kupapaswa makalioni.Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia
Mnachojua ni matusi!Siwezi kushuka level Yako na kuanza kujibizana matusi na wewe!Jioni njema!Tuletee hizo propaganda hai za kirusi ili tulinganishe na tuamue. Usitupangie kama ambavyo sisi hatukupangii kwenda kupapaswa makalioni.