Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia wananchi wanaokombolewa jinsi wanafurahi kuninasua mikononi mwa Wavamizi wa Urusi. Warusi hawatakiwi Ukriane.. Hawa ni Wananchi wakipokea Frontline ya Ukriane baada ya kukomboa miji yao
Your browser is not able to display this video.
 
Miezi nane ya Vita bado Ukraine ina ndege pamoja na kwamba Urusi ilisema umeharibu ndege zote na mifumo ya anga ya Ukraine. Warusi wamefika Ground na kukuta mambo tofsutitofauti. Urusi imejambishwa na Nchi ndogo Ukraine miezi 9. Hawezi fsnya Vita ya dunia kwani atachakazwa hadi aahangae. Nchi ndogo kama Ukraine unashindwa haribu mifumo ya anga bado unajisifia kwamba una jeshi imara Duniani?
Your browser is not able to display this video.
 
Yuki wapi sasahivi huyu kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…