figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,121
Frontline ya Ukraine kila wanapofika wanhakikisha wamegawa chakula na dawa kwa Wananchi. Sio kupigana tu. Urusi inataka watu kama hawa waishi kwa tabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hey!Warussi watakoma ubishi. Ni mwendo wa kubamiza tu.Safi sana.Iwe fundisho kwa wote wanaovamia nchi za watu ili kuzitawala kimabavu
View attachment 2405449
Eeee! Mtu anarushwa kama mpira wa kona. 😂 🏃♂️Warusi wanajuta
View attachment 2405450
Alivyojaladia-jaladia, bila shaka huyo atakuwa mbolea ya ubora wa kiwango cha juu zaidi.Huyu alikuwa kashastaafu, tamaa zake zikamleta Ukriane ili aonekane shujaa.. Alikuwa kiongozi wa Wagner upande wa anga
View attachment 2405451
Dah! Msosi Hadi mate yan. ila tu hawajatukaribisha tuonje japo kidogo. 😂 😂Hakuna kazi kama kuhakikisha kila kikosi Frontline kinakula na kunywa. Sababu wanahamahama. Asubuhi Goba, mchana Magomeni jioni Mwenge.
View attachment 2405453
Wanagawa Upendo na Mungu anadai Upendo kwa jirani. Hakika Ukraine atapata thawabu machoni pa Mungu.Frontline ya Ukraine kila wanapofika wanhakikisha wamegawa chakula na dawa kwa Wananchi. Sio kupigana tu. Urusi inataka watu kama hawa waishi kwa tabu.
View attachment 2405454
Yuki wapi sasahivi huyu kamanda?Nimemiss sana Lieutenant colonel Denys "Redis" Prokopenko, Komando wa AZOV alowadindia Warusi kule Mariupol Azovstal. Hadi wakaombwa na Uongozi wa Ukraine kujisalimisha. Wao waliaamua wafe ila si kijisalimisha kwa Mrusi. Tumemiss sana ucheshi, Majigambo na Ishujaa wa Redis kwenye Magroup. Mungu azidi kumpa maisha Marefu
View attachment 2405230
Who, What, Which, Where ,When, How 👆 😳Hopeless
Yupo Uturuki. Yeye na Wenzake Wanne.Yuki wapi sasahivi huyu kamanda?