figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #781
Ndo maana nimeweka ili ufurahi. Sio kwamba sijui ila siwezi sambaza au kufurahia habari za Wavamizi. Soma maelezo yangu post #1. Nimesema nina upande, na nitaandika habari za Askari wa Ukraine walio Frontline tu. Nyingine sihangaiki nazo. Hii nimeweka sababu uliomba. Niulize kinachoendea mafanikio ya jeshi la Ukraine. Ukitaka kujua habari za Urusi, waulize wafuatiliaji na mashabiki wao. So kama mimi kupost habari za Ukraine haikufurahishi na inakukera, usifungue uzi, fuatilia threads za Urusi.
Haya unayoandika hapa yana ukweli?
Mbona naona kwenye vyombo vya habari Ukraine inachapwa vibaya mno.
Usipanik relax kijana binafs sijaona sehem yyte mwenye Uzi alipolaani kuuwawa kwa majeshi ya Ukraine bali nimeona akilaani majeshi ya Urusi kuua raia wasiokuwa na hatia.Who are you by the way kunipangia kipi cha kufungua ama kutofungua humu ndani?
Kama unataka Uzi wako usomwe na wa upande wako tu basi andika kisha kabandike chumbani kwako.
Kila siku unabandika habari kuhusu majeshi ya Ukraine yanavyoua kikatili askari wa Russia ila ukikuta mwananchi wa Ukraine kasambazwa ubongo na utumbo unakuja kupiga kelele humu ooh hali za binadamu, ooh vikwazo.....!!!
Dude mmk vita ni vita aisee vikipiganwa nchini kwako usitegemee watakao kufa ni kuku, mbwa au kenge maji.
Usipanik relax kijana binafs sijaona sehem yyte mwenye Uzi alipolaani kuuwawa kwa majeshi ya Ukraine bali nimeona akilaani majeshi ya Urusi kuua raia wasiokuwa na hatia.
Ni kweli Ukraine anachapika ila Urusi kachapika zaidi ukichukulia ukubwa na nguvu alizinazo.
Usipanik relax kijana binafs sijaona sehem yyte mwenye Uzi alipolaani kuuwawa kwa majeshi ya Ukraine bali nimeona akilaani majeshi ya Urusi kuua raia wasiokuwa na hatia.
Ni kweli Ukraine anachapika ila Urusi kachapika zaidi ukichukulia ukubwa na nguvu alizinazo.
Wanasonga mbele kuelea wapi Moscow ama? Maana juz walikaribia kuiteka Kiev mara ghafra hawapo Kiev Sasa wamesonga mbele au nyuma ?Toa ushahidi wa hiki unachokisema,
Laiti kama Russia wangekuwa wamechapika vya kutosha bila shaka majeshi ya Putin yangekwisha surrender. Kila siku tunaona na kusikia Warussi wanasonga mbele na kuleta uharibifu zaidi kwa Ukraine licha ya westerners sanctions, kuingiza vifaa vita na mercenaries.
Hawatakuamini. Tuwawekee Video.Leo waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amekutana na Rais wa Ukuraini na kufanya nae mazungumzo .
Sent using Jamii Forums mobile app