Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine imejiokotea kifaru aina ya BTR-80.
 
Hahahaa.. Kama Movie. Angalia Askari wa Urusi walivtokimbizwa. Hii ni jana maeneo ya Kreminna 09 April 2022
 
Urusi wanakufa hadi basi
 
Azov fighters wakiwaangamiza Warusi Mkoani Mariupol. Silaha iliyotumika ni 30mm cannon
 
20220409_024533.jpg
20220409_024527.jpg
20220409_024512.jpg

20220409_024440.jpg

20220409_024437.jpg

20220409_024435.jpg

20220409_024423.jpg

20220409_024421.jpg

20220409_024418.jpg
 
Haya unayoandika hapa yana ukweli?
Mbona naona kwenye vyombo vya habari Ukraine inachapwa vibaya mno.
 
Ndo maana nimeweka ili ufurahi. Sio kwamba sijui ila siwezi sambaza au kufurahia habari za Wavamizi. Soma maelezo yangu post #1. Nimesema nina upande, na nitaandika habari za Askari wa Ukraine walio Frontline tu. Nyingine sihangaiki nazo. Hii nimeweka sababu uliomba. Niulize kinachoendea mafanikio ya jeshi la Ukraine. Ukitaka kujua habari za Urusi, waulize wafuatiliaji na mashabiki wao. So kama mimi kupost habari za Ukraine haikufurahishi na inakukera, usifungue uzi, fuatilia threads za Urusi.

Who are you by the way kunipangia kipi cha kufungua ama kutofungua humu ndani?

Kama unataka Uzi wako usomwe na wa upande wako tu basi andika kisha kabandike chumbani kwako.

Kila siku unabandika habari kuhusu majeshi ya Ukraine yanavyoua kikatili askari wa Russia ila ukikuta mwananchi wa Ukraine kasambazwa ubongo na utumbo unakuja kupiga kelele humu ooh hali za binadamu, ooh vikwazo.....!!!

Dude mmk vita ni vita aisee vikipiganwa nchini kwako usitegemee watakao kufa ni kuku, mbwa au kenge maji.
 
Haya unayoandika hapa yana ukweli?
Mbona naona kwenye vyombo vya habari Ukraine inachapwa vibaya mno.

Mkuu hizi ni Western propaganda, na huyu figa yupo kwa ajili ya kuzieneza kwa brainwashed mind.
 
Who are you by the way kunipangia kipi cha kufungua ama kutofungua humu ndani?

Kama unataka Uzi wako usomwe na wa upande wako tu basi andika kisha kabandike chumbani kwako.

Kila siku unabandika habari kuhusu majeshi ya Ukraine yanavyoua kikatili askari wa Russia ila ukikuta mwananchi wa Ukraine kasambazwa ubongo na utumbo unakuja kupiga kelele humu ooh hali za binadamu, ooh vikwazo.....!!!

Dude mmk vita ni vita aisee vikipiganwa nchini kwako usitegemee watakao kufa ni kuku, mbwa au kenge maji.
Usipanik relax kijana binafs sijaona sehem yyte mwenye Uzi alipolaani kuuwawa kwa majeshi ya Ukraine bali nimeona akilaani majeshi ya Urusi kuua raia wasiokuwa na hatia.
Ni kweli Ukraine anachapika ila Urusi kachapika zaidi ukichukulia ukubwa na nguvu alizinazo.
 
Toa ushahidi wa hiki unachokisema,

Laiti kama Russia wangekuwa wamechapika vya kutosha bila shaka majeshi ya Putin yangekwisha surrender. Kila siku tunaona na kusikia Warussi wanasonga mbele na kuleta uharibifu zaidi kwa Ukraine licha ya westerners sanctions, kuingiza vifaa vita na mercenaries.
 
Kupigwa wanapigwa Ukraine lakini athari za vita inaikumba zaidi Ulaya, Amerika na Afrika badala ya Russia.

Hii vita kwa sasa imefikia pazuri sana, yaani ni Russia vs USA/NATO wakiwa uwanja wa mapambano huko Ukraine.
 
Toa ushahidi wa hiki unachokisema,

Laiti kama Russia wangekuwa wamechapika vya kutosha bila shaka majeshi ya Putin yangekwisha surrender. Kila siku tunaona na kusikia Warussi wanasonga mbele na kuleta uharibifu zaidi kwa Ukraine licha ya westerners sanctions, kuingiza vifaa vita na mercenaries.
Wanasonga mbele kuelea wapi Moscow ama? Maana juz walikaribia kuiteka Kiev mara ghafra hawapo Kiev Sasa wamesonga mbele au nyuma ?
 
Hii ni kazi ya wapiganaji wa Azov wanaoisaidia Ukraine. Wapo vizuri sana💪
 
Hapa ni jirani na Rubezhnoye, Mkoani Luhansk Warusi waliweka nitric acid kwenye kifaru chao, tukakilipua🤣🤣
 
Back
Top Bottom