Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakuu, Frontline sio kuzuri wala sio sehemu ya kuomba kufika. Unacheka na rafiki yako unaenda kukojoa na ukirudi unamkuta hahemi. Kufa dakika Sifuri. Kuishi ni kudra za Mungu.. Ila kunaingia kiza na kunakucha mapambano yanaendelea
 
Karkhiv Isha kombolewa yote.afu Ukraine Haija shupaza shingo inachotaka taratibu za umoja wa Mataifa zifatwe pia ipo tarayati Kwa mazungumzo ila Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?
 
Ndio maana tunatakiwa kuwaheshimu sana wanajeshi e.g. Hapa Tz ni JWTZ kwani wao huenda huko Frontline (Hatarini - killing zone) kwa niaba yetu, wanajitolea maisha yao(Uhai) kwa niaba yetu - Tuwaheshimu na tuwapende hao waliojitoa muhanga kutetea mustakabali wa Uhai wetu.
 
View attachment 2407565
Kwa hisani ya Aljazeera.com
Sio tatizo.. Ndani ya Mikoa 28 ya Ukriane, Urusi iliteka mikoa 13, hii wamebaki na mikoa minne tu. Tatizo silioni. Kama tuliwafurumusha mikoa 9, hata hii tutaweza. Ukraine ilikuwa nchi ya amani. Crimea wakawachia Urusi bila vita mwaka 2014, Urusi wakanogewa sasa wanataka mikoa 5. Tutafia hapo na hawatachukua kitu
 
Hahahaaa mpk raha
 
Karkhiv Isha kombolewa yote.afu Ukraine Haija shupaza shingo inachotaka taratibu za umoja wa Mataifa zifatwe pia ipo tarayati Kwa mazungumzo ila Russia itoe wanajeshi wake Ukraine.tatizo lipo wap hapo mkuu?
Kwa kuweka records sawa. Mkoa wa Kharkiv bado haujakombolewa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…